baba shikamoo... alafu baba nimegundua kitu ila siri yangu
Marahaba mwanangu, umegundua nini? Nakupenda sana mwanangu mzuri....
inaonekan unampango wa kuelekea team bazaziHapo nikiambiwa nikeshe kifuani mwao niko radhi nikeshe
Angalizo mimi siko Team bazazi
baba mimi nakupenda zaidi .... baba unapenda kuangalia picha za wadada baba anakusemea kwa mama
inaonekan unampango wa kuelekea team bazazi
Honey....kuna mtu aliniita huku nilikua napita zangu but nishatoka mtaa huu...na mama yako usimwambie please
Wala hata sielekie huko mie wala hilo riteam sirijui kabisa
Mbona wafanana na Machenza hao....
babaunaona mambo yako hayo mwambie akome kukuita hivyo mimi sitaki mama mwingine baba hatatupenda kama mama anavyofanya
Hapana mwanangu mama mwengine wanini? Mama yako ndo kila kitu honey
sawa ma sweetheart dady take care nasikia siku hizi kuna wadada wanawatega hadi wababa uwe makini baba yangu mzuri
Usijali kabisa mwanangu me nampenda sana honey wangu
sawa baba ila usiache kunipenda na mimi kuna wakati unampenda mama sana unaniacha mimi
Dr upo........Habari za Sochi.......?
Nipo Dr habari za uzima wako?
Sochi kwema Dr...ndio tumemaliza olympics hapa bila kuambulia medali hata moja