Maelfu ya wananchi watoa machozi

Nafurahi kuona mikutano yote ya Kampeni ya Lowassa sijaona watu wakisombwa na mafuso na malori wananchi wanakuja wenyewe kwa utashi wao umati ule wa masasi leo Rais wetu ametisha viva Edo viva ukawa viva CDM
 

Hebu wekeni picha ya hayo malori 60 na mabasi kadhaa hapo yaalipo egeshwa kusubiri kuwarudisha makeao tuyaone basi jamani ....
 
Vijana wa Tanzania ni mbumbumbu kama nyumbu. Hawajui wanachokitaka kutoka UKAWA. Ingekuwa Ukawa ya Dr Slaa na akina Lissu na Halima Mdee na John Mnyika ningewaelwa. Lakini unasema unataka mabadiliko kwa kuongozwa na Lowassa na Sumaye, ambao kwa miaka 12 ndiyo walikuwa wanasimamia utekelezaji wa sera za CCM. Huo ni upumbavu. Ni Magufuli tu ndiye anayetufaa
 
Raisi wa Kuwait ni nani vile !!??mzee Kidevu alipiga push up mbele ya watu kama wasanii wenzake akina Yamoto band walivyokuwa wanafanya...CCM OUT
 
Pigeni kelel kura yangu si wapi chama cha mtei wakajenge ikulu yao huko

Sawa kabisa hujakosea watoto na wake wa wakuu kukitetea chama ccm maana hakuna masikini wa kukitetea ccm
 
Kazi kusomba walevi, tena kijijini kwetu nasikia waliwalazimisha. Kwishney.
 
Wanalia kumshika mkono????? Lazima watakuwa na joto na vile mgombea kesha waonyesha push up wamefahamu uwezo wake up wapi zaidi.

#torokauje
 
haa haa eti chaguo la mungu duh. nimekumbuka mwaka 2005 mambo yalikuwa hivohivo lakini wapi... ccm haifai kurejeshwa tena madarakani kamwe...
 
Yaani mwaka huu kila mtu anajaza raia sijui nani aatashinda..
 
Wanalia kutokana na mateso waliyopata toka utawala wa ccm,na ulaghai unaoendelea wa kuwataka wakionee tena huruma chama hicho.sio kila chozi lamaanisha unachowaza wewe.ni machungu ya umasikini na mshangao kwamba inakuwaje tena vcm wakathubutu kujitokeza tena mbele ya wananchi iliowatelekeza kwa miaka yote.
 

we stand again and again for lowasa regardless whether he will bring development or. not we will choose him Tanzania is for everybody.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…