Maelfu ya wananchi watoa machozi

Mbona watu wote wamevaa kijani?

Ndio mnaowaandaa na kuwazomba na kuwalipa wekundu.

Kuna ulaji ccm wakati wa kampeni.

Kura zote wanampa Lowassa.

Imethibitishwa na kulialia kwa POMBE kuwa wanamuunga mkono papo hapo kumbe ni upinzani.

Malipo ya Tshirts ni kuhudhuria mkutano wa CCM!!!!
 
Wasiasa wanatakiwa kutuogopa wananchi na si wananchi kuwaogopa wanasiasa
 
Lowasa ndo rais wetu. Magufuli akazane tu push up zake kama ndo kero ya watanzania
 
Magufuli anazidi kuwafurahisha watanzania. Safi sana nimependa wakazi wa bukoba kwa uzalendo wenu.
 
Nshomile wa bukoba wanavyopenda elimu,uwaambie elimu bure mpaka chuo kikuu wachague elimu ya form 4??!!! Bojo bojo,nshomile anafikilia zaidi digrii kuliko hicho ki form 4

uzuri nshomire wasomi wengi, hawafikirii lwa kutumia mackalio, kuchagua ukawa laIma ufikiri kwa kutumia makalio.
 
Tofauti ni kwamba Obama alikuwa kwenye issue za michezo....ufunguzi or something like that kwa hiyo alikuwa anademostrate vitu vya kimichezo kama ambavyo wanasiasa wengi wanapiga mpira au kupiga penalt wakiwa wageni kwenye football !

On the other hand Magufuli anapiga pushups kwenye mkutano wa hadhara....ili iweje ?.....Upuuzi !



Magufuli kama Obama
 

Ningewashangaa Sana Watani Zangu NINAOWAPENDA Wahaya Kama Wasingejitokeza Kwa Wingi Leo Kumsikiliza Na Kumshangilia Rais Mtarajiwa Magufuli. Hongereni Mno Watani Kwa Uwingi Wenu Huo Na Kwakuwa Sasa Mmenifurahisha Nitarudiana Na Binti Yenu Wa Kihaya Niliyemuweka Pending Kwa Kushindwa Kunitengenezea Lubisi Na Matoke Japo Katerero Anajua Hadi Raha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…