Hii taarifa niliisikiza vizuri sana, baadae nikakasirika sana yaani police ni waongo hadi mbele ya kamera......sasa hao watu walikuwa juu mbinguni? Yaani wapige risasi zote juu ili kuwatawanya watu alafu waje waseme watu wawili walipatwa na risasi na kufariki hapohapo na mwingine kujeruhiwa!....dhambi wanazozidi kujilimbikizia hawa police kuna siku Mungu atawalipa hadharani .......hata darasa la saba hawezi kudanganya namna hii daaaah!
Niaibu kubwa inaudhi na nizaidi ya kukasirikaHii taarifa niliisikiza vizuri sana, baadae nikakasirika sana yaani police ni waongo hadi mbele ya kamera......sasa hao watu walikuwa juu mbinguni? Yaani wapige risasi zote juu ili kuwatawanya watu alafu waje waseme watu wawili walipatwa na risasi na kufariki hapohapo na mwingine kujeruhiwa!....dhambi wanazozidi kujilimbikizia hawa police kuna siku Mungu atawalipa hadharani .......hata darasa la saba hawezi kudanganya namna hii daaaah!
Leo kwao kesho kwetuUmeongea kwa ruhusa ya nani?
Kwani unataka nini mkuu
Acha kujiumiza bure
napitia hapo si mda
Jana iliripotiwa kuuawa kwa watu wawili kwa risasi morogoro nimeskiliza maelezo ya polisi wanadai walipiga risasi ishirini na mbili juu kutawanya wananch na mbili **ZILIWAGONGA* raia wakafariki sasa nachojiuliza risasi zikipigwa juu ziwagongaje watu wa chini na wakaeleza pia majeruhi mmoja yuko hosptl kwa matibabu lkn uongozi wa hsptl umekana kupokea majeruhi yoyote wa tukio hilo kwahili sjaelekidogo maelezo ya polise
Duuh!! kazu ipoYawezekana kilichowagonga siyo risasi, bali ni kitu chenye ncha kali
[emoji2]script na maigizo ya PT ni zaidi ya bongo movies
Nyie ndio huwa mnapoteza watu.Ni lini polisi walishatoa maelezo yenye kukidhi haja? Ipo siku Raia nao watachoka huku mtaani kutachimbika. Hivi hawa tunaoishi nao huku mtaani watu wakiamua mbwai na iwe mbwai itakuwaje? Naamini risasi za polisi zikipigwa juu wakati wa kurudi ardhini huwa zina uzito wa kilo 500 hivyo mwananchi lazima afe tu! Ila za wanajeshi zenyewe zikishafyatuliwa wakati wa kurudi ardhini zinakuwa hazina uzito!
Point yako hapa ni nini? Wanafanya vizuri kuua watu?Nyie ndio huwa mnapoteza watu.
Upuuzi kama wa juzi mbeya polisi wanawaangalia ndio mnaoutaka.wakitumia upolisi wao vyema inakuwa shida.
Unaanzaje mazoea na mtu kabena siraha, au za polisi hazipigi.nyie jadilini tu kauli tata za hao jamaa muone kama ipo siku mtawaelewa.