Habar ndg zng,samahan naomba maelezo jinsi ya kutumia hii program coz nmejarbu kufuatilia jinsi ya kutumia lkn bdo kiza kmetawala!
Natanguliza shukrani
Habar ndg zng,samahan naomba maelezo jinsi ya kutumia hii program coz nmejarbu kufuatilia jinsi ya kutumia lkn bdo kiza kmetawala!
Natanguliza shukrani
Hii nenda polepole yan anza kwa kuangalia tutorials kwnza youtube af ukfikia hatua unakua unapause af unajarib na wewe kaka kwenye video...ndivyo nlivyojifunza mimi