Hiyo inafanywa tu na OS yenyewe na it has something to do na operator, inategemea call yako inapitia kwenye band gani, ile H+ inasepa coz ukiwa una-call unatumia GSM peke yake, kwa OS ina-save battery coz huitaji data wakati unaongea unless simu yako inaruhusu kuminimize na kuendelea na shughuli zako then maybe inaweza washwa. Ila kwa Operator muda mwingine ni kwa sababu wanatumia the same band kupitishia internet na simu kwa hiyo ukipiga simu wanablock kitu kingine chochote hadi utakapomaliza.