mgunda1990 Member Joined Jul 19, 2012 Posts 73 Reaction score 4 Dec 28, 2016 #1 Heshima zenu wakuu..naomba mwenye joining instructions msalato anitumie kama softcopy au hardcopy piga picha..natanguliza shukran
Heshima zenu wakuu..naomba mwenye joining instructions msalato anitumie kama softcopy au hardcopy piga picha..natanguliza shukran
The End.. JF-Expert Member Joined Aug 13, 2013 Posts 4,362 Reaction score 3,846 Dec 29, 2016 #2 hii ndo news alert..!!!
mavela Senior Member Joined Oct 1, 2014 Posts 149 Reaction score 66 Jan 1, 2017 #3 mgunda1990 said: Heshima zenu wakuu..naomba mwenye joining instructions msalato anitumie kama softcopy au hardcopy piga picha..natanguliza shukran Click to expand... Kuna hii hapa ya kidato cha tano katika shule ya msalato. Ingawa maelekezo yanaweza kutofautiana na o'level lakini angalau unaweza kupata cha kuanzia... Pia kuna namba za simu kwa mawasiliano http://www.tamisemi.go.tz/noticeboard/joining-instructions/joining_instructions/DODOMA/MSALATO.pdf
mgunda1990 said: Heshima zenu wakuu..naomba mwenye joining instructions msalato anitumie kama softcopy au hardcopy piga picha..natanguliza shukran Click to expand... Kuna hii hapa ya kidato cha tano katika shule ya msalato. Ingawa maelekezo yanaweza kutofautiana na o'level lakini angalau unaweza kupata cha kuanzia... Pia kuna namba za simu kwa mawasiliano http://www.tamisemi.go.tz/noticeboard/joining-instructions/joining_instructions/DODOMA/MSALATO.pdf
Mkushi Da Gama JF-Expert Member Joined Jun 23, 2015 Posts 3,692 Reaction score 4,995 Jan 1, 2017 #4 mavela said: Kuna hii hapa ya kidato cha tano katika shule ya msalato. Ingawa maelekezo yanaweza kutofautiana na o'level lakini angalau unaweza kupata cha kuanzia... Pia kuna namba za simu kwa mawasiliano Click to expand... namba ipo wap
mavela said: Kuna hii hapa ya kidato cha tano katika shule ya msalato. Ingawa maelekezo yanaweza kutofautiana na o'level lakini angalau unaweza kupata cha kuanzia... Pia kuna namba za simu kwa mawasiliano Click to expand... namba ipo wap
mavela Senior Member Joined Oct 1, 2014 Posts 149 Reaction score 66 Jan 1, 2017 #5 Mkushi wa kusi said: namba ipo wap Click to expand... Cheki kwenye hii http://www.tamisemi.go.tz/noticeboard/joining-instructions/joining_instructions/DODOMA/MSALATO.pdf
Mkushi wa kusi said: namba ipo wap Click to expand... Cheki kwenye hii http://www.tamisemi.go.tz/noticeboard/joining-instructions/joining_instructions/DODOMA/MSALATO.pdf