Maegesho ya magari Mbezi ya Kimara

Maegesho ya magari Mbezi ya Kimara

benbry

Senior Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
183
Reaction score
55
Wadau nauliza kama kuna yeyote anayefahamu mahali ninapoweza kuacha gari kuanzia asubuhi hadi jioni (kwa malipo) pale maeneo ya Mbezi mwisho. Maana foleni sasa imekuwa balaa hapa mjini. Ni bora mtu ukitoka home uache mkoko wako mahali Fulani then ukija jioni unaupitia maisha yanaendelea.
 
yah kuna sehemu ya usalama pale kimara mwisho, kuna gereji na pia kuna jamaa anaziba pancha, ukiongea nae first day unaweza mpoza kidogo sema yeye anataka uwe unaosha gari kwake pamoja na huduma za upepo then baada ya hapo we liache gali lako hata lilale utalikuta kwani mwenyewe hulala hapo hapo na pia vibaka wote wanamjua hawasogei
 
good idea
 
Si uliache kwako ama uuze kama wese ni ishu?
Ushauri mzuri maana kama mtu anauliza mahali pakupaki tena Mbezi mwisho si bora aliache kwake unless kama anakaa Chalinze anafanya kazi Dar hivyo akifika Mbezi analiacha
 
yah kuna sehemu ya usalama pale kimara mwisho, kuna gereji na pia kuna jamaa anaziba pancha, ukiongea nae first day unaweza mpoza kidogo sema yeye anataka uwe unaosha gari kwake pamoja na huduma za upepo then baada ya hapo we liache gali lako hata lilale utalikuta kwani mwenyewe hulala hapo hapo na pia vibaka wote wanamjua hawasogei
 
karucee hiyo hoja yako haina mashiko, toa hoja zenye mashioko, muda unaotumia ukiwa na public transport unafika haraka kuliko private unless upite vichochoro
 
ushauri mzuri ni kuliacha nyumbani tu
 
karucee hiyo hoja yako haina mashiko, toa hoja zenye mashioko, muda unaotumia ukiwa na public transport unafika haraka kuliko private unless upite vichochoro

Afadhali hata mimi.

Eti akapaki polisi watajua ana kesi.

Akuuzie wewe baiskeli yenyewe huna!
 
Wadau nauliza kama kuna yeyote anayefahamu mahali ninapoweza kuacha gari kuanzia asubuhi hadi jioni (kwa malipo) pale maeneo ya Mbezi mwisho. Maana foleni sasa imekuwa balaa hapa mjini. Ni bora mtu ukitoka home uache mkoko wako mahali Fulani then ukija jioni unaupitia maisha yanaendelea.

Kaka ipo sehemu. Ni makondeko. Ni eneo la msikiti. Wametenga eneo maalumu na watu wengi wanaweka. Call 0779420000
 
yah kuna sehemu ya usalama pale kimara mwisho, kuna gereji na pia kuna jamaa anaziba pancha, ukiongea nae first day unaweza mpoza kidogo sema yeye anataka uwe unaosha gari kwake pamoja na huduma za upepo then baada ya hapo we liache gali lako hata lilale utalikuta kwani mwenyewe hulala hapo hapo na pia vibaka wote wanamjua hawasogei
Mkuu nashukuru kwa ushauri mzuri.
 
Kaka ipo sehemu. Ni makondeko. Ni eneo la msikiti. Wametenga eneo maalumu na watu wengi wanaweka. Call 0779420000
Asante kaka kwa ushauri mzuri, waache wanaochonga waendelee kuchonga.
 
Back
Top Bottom