Madume bora yako usukumani

Madume bora yako usukumani

Naona umesahau kwamba ni madomo zege mpaka mjipige promo za kilooser..daaah kimsingi hua nachukia sana mtu karne hii akikaa na kuanza kuzungumzia ukabila etc etc..sasa ukishakua msukuma ndo unakua una nini cha ajabu? Mimi frend wangu mmoja ni muha..jamaa hakasiriki wala nin hata umuudhi vipi huwezi jua kama kakasirika..vitu vingine ni personal traits ingawa samtyms sehemu unayotoka inahusika..chamsingi tupige kazi watu..sio oohh mwanaume usukumani mpaka leo hii huo usukuma umekufanya upate nini cha ajabu sana eennh? Ni swali la kizushi tu hilo
 
Back
Top Bottom