Maduka ya uarabuni

huyo dogo alijuaje kuwa kuna kitu ndani pale!duh kizazi cha nyoka
 
Dogo anapasha joto kidole.hahahahahhaahahh haki ya mungu lazima mbeleni garika litarudi tu
 
Huyo dogo anaangalia nini hapo!
 
Huyu dogo ni "MBUNIFU" wazazi tuwe macho hawa watoto wanaweza kutuabisha.
 
Next nikwa mama, dada, aunt, bibi- lazima kieleweke.
 
huyo dogo ni wa kiume au kike, nijuzeni wakuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…