Johnsecond
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 1,076
- 211
yaani umepata mkasa mara ya kwanza ukarudia tena, ukapata mkasa na bado ukarudia tena... Inaelekea unaiamini sana hiyo supermarket
mkuu umeanza kuwa comedian siku hizi? acha fix mwanaMi nilinunua mswaki mmoja tu, wakanifungia kwenye gunia
tangu lini kibuku unayokunywa imekuwa pombe kali? we sema unapita pale ubungo stendi ya mkoa unajichukulia ka creti kako kamoja wakati wa foleni unachapa mwendoWale ni wahuni tu. Hata kwenye shelves kuna vitu kibao vime expire. Angalia sana lebo wakati wa kununua. Mi pale nanunua pombe kali na wine tu, sigusi kitu ingine, hata dog food sinunui
aise kuku fresh mtaani unaenda kwa mfugaji unamwambia namtaka yule jogoo pale anawaita watoto wa jirani waanze mbio kumkimbiza na kumkamata
hata ukimpika mpaka majirani wanahisi harufu yake maana yule anakula wadudu wa mashambani
Kweli mkuu
anakuwa fresh kabisa