Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Feb 4, 2009 74,894 155,916 May 20, 2012 #1 [h=3]MKUU WA WILAYA IRINGA AMFIKISHA POLISI MTENDAJI ALIYEGAWA MBOLEA KWA MAREHEMU........[/h] Mjane wa marehemu Yohana Mtweve akionyesha kaburi la mumewe ambalo linadaiwa kupewa vocha za mbolea ya ruzuku Mmiliki wa mtandao huu Bw Francis Godwin akitoa zawadi ya kanga kwa mjane huyo baada ya kuonyeshwa kaburi Mtangaji wa Radio Ebony Fm Julian akifanya mahojiano na mtendaji wa kijiji cha Kibena Laurent Kidava anayetuhumiwa kugawa mbolea kwa marehemu Hili ni kaburi la marehemu nikionyeshwa Gari la mkuu wa wilaya ya Iringa likimshusha mtendaji huyo polisi kwa tuhuma za wizi wa mbolea ya ruzuku Hapa mtendaji huyo akinipa kitabu cha wageni kabla ya kuanza mahojiano
[h=3]MKUU WA WILAYA IRINGA AMFIKISHA POLISI MTENDAJI ALIYEGAWA MBOLEA KWA MAREHEMU........[/h] Mjane wa marehemu Yohana Mtweve akionyesha kaburi la mumewe ambalo linadaiwa kupewa vocha za mbolea ya ruzuku Mmiliki wa mtandao huu Bw Francis Godwin akitoa zawadi ya kanga kwa mjane huyo baada ya kuonyeshwa kaburi Mtangaji wa Radio Ebony Fm Julian akifanya mahojiano na mtendaji wa kijiji cha Kibena Laurent Kidava anayetuhumiwa kugawa mbolea kwa marehemu Hili ni kaburi la marehemu nikionyeshwa Gari la mkuu wa wilaya ya Iringa likimshusha mtendaji huyo polisi kwa tuhuma za wizi wa mbolea ya ruzuku Hapa mtendaji huyo akinipa kitabu cha wageni kabla ya kuanza mahojiano
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Feb 4, 2009 74,894 155,916 May 20, 2012 Thread starter #3 nchi hii inaliwa sana, haya ni machache tu yanayiobuliwa, yapo mengi sana bado hayajulikana
B bdo JF-Expert Member Nov 20, 2006 5,809 2,421 May 20, 2012 #4 Bujibuji! hebu weka mambo sawa kidogo - hili tukio limetokea lini (Mtendaji kapelekwa lini polisi?, pembejeo zimegawiwa lini na marehemu amefariki lini?
Bujibuji! hebu weka mambo sawa kidogo - hili tukio limetokea lini (Mtendaji kapelekwa lini polisi?, pembejeo zimegawiwa lini na marehemu amefariki lini?
M Mbozib JF-Expert Member Apr 9, 2012 408 59 May 20, 2012 #5 Buji buji usitafute ushahidi mwingi mambo mengine yanatia kichechefu
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Feb 4, 2009 74,894 155,916 May 21, 2012 Thread starter #6 Hizi zama za mwisho wa uhai wa CCM mtayasikia mengi sana Mbozib said: Buji buji usitafute ushahidi mwingi mambo mengine yanatia kichechefu Click to expand...
Hizi zama za mwisho wa uhai wa CCM mtayasikia mengi sana Mbozib said: Buji buji usitafute ushahidi mwingi mambo mengine yanatia kichechefu Click to expand...