bora huyo aliyekosea grammer kuliko wewe unayetoa mambo ya ofisi nje! hivi maadili ya kazi siku hizi mbona ni hovyo sana? hauna tofauti na yule anayetoa siri za ndani (unasema mambo ya mpz wako hadharani)
kweli wewe ulipewa nafasi kwa bahati mbaya
Inauma sana kama tutaanza kubaguana kwa kuangalia chuo ulichosoma bila kuangalia ufanisi wa kazi!! Sasa kazi tutapata kweli?? bado hajaangalia dini, mfuate kabila, mfuate mkoa ........... Wakubwa zetu mnatufundisha nini???
Aise we jamaa huna kifua una tabia ya umbea pia unajifanya elimu bora sana we itakua chuo ulikua unasoma language mwenzio kasoma accounts ivi unajua kuna wachina wenye elimu kubwa na hawajui kingereza