Kaka mwisho JF-Expert Member Joined Dec 19, 2011 Posts 409 Reaction score 182 Apr 26, 2012 #1 Napenda kuuliza hivi inawezekana kusomea diploma ukiwa na form 4 ya 29? Maana hapa dodoma st john inatoa diploma kwa 4 ya 29, sasa sijui ni utapeli baadae wakati wa kuhitimu yatokee magumashi kuwa hawana sifa.
Napenda kuuliza hivi inawezekana kusomea diploma ukiwa na form 4 ya 29? Maana hapa dodoma st john inatoa diploma kwa 4 ya 29, sasa sijui ni utapeli baadae wakati wa kuhitimu yatokee magumashi kuwa hawana sifa.
Mu-sir JF-Expert Member Joined Oct 12, 2010 Posts 3,621 Reaction score 1,645 Apr 26, 2012 #2 Wanaangalia pesa mkuu sio ufaulu wako kibiashara zaidi
Kinyerezi JF-Expert Member Joined Jan 28, 2009 Posts 487 Reaction score 149 Apr 27, 2012 #3 Issue Moto, Jukwaa silo :rolleyez: