Elections 2010 Madudu ya Abbas Kandoro

masasi

Member
Aug 3, 2010
48
0
WANA KALENGA WALIKUWA NA HAKI YA KUTOMPIGIA KURA ABAS KANDORO KTK ZOEZI LA KURA ZA MAONI NDANI YA CCM,AMEONYESHA UWEZO MDOGO JUU YA SWALI LA KWANINI MAGARI TENA YENYE NEMBO ZA SERIKALI NA HATA LILE LA WAGONJWA LA HOSPITALI TEULE YA BUGANDO YA WANANCHI KUHOJI JUU YA HILO KWANI NI KODI ZAO ZINAZOTUMIKA KUENDESHEA MAGARI HAYO,ANATOA MAJIBU YA DHARAU,KEBEHI,NGANDANGU,ANASEMA ETI ULITAKA YATUMIWE NA NANI KAMA SI CCM HUKU AKAISAHAU KUWA WATU HAO WANAKATWA KODI ZAO KUBWA BILA HURUMA NA WAO WANAZITUMBUA KWA MASLAHI BINAFSI NA YA CHAMA CHAO,OLE KWA VIONGOZI WOTE WA AINA YA KANDORO,IPO SIKU KAMA SI NYIE BASI VIZAZI VYENU WATALIPA HII DHAMBI MNAYOTENDA KWA MASIKINI WA KITANZANIA:eyebrows::eyebrows:
 
Hawa ndio viongozi wetu, Mpaka sasa kuna wananchi wanadai fidia ya viwanja vyoa ambako serikali ya mkoa ilipima, Kandoro na afisa wake wa fedha mkoa wameshindwa kuwalipa licha ya fedha kutoka. Inasemekana alizitumia katika Kampeni huko karenga
 
Back
Top Bottom