Ujumbe umefika. Ninakuombeni muwaombe MODS waifute hii post ili jukwaa la Watanganyika lisichafuliwe.
Mkuu hakuna haja ya kuwatukana!! Hayo ni maoni yao ingawa yanakera sana. Cha msingi tuangalie namna ambavyo rais alivyowekwa kwa interests za mafisadi.Ni ******** na ********* zenu wote mnaodhani matatizo ya Znz si ya Tanzania. You are ******* and you need help!*******!
Ujumbe umefika. Ninakuombeni muwaombe MODS waifute hii post ili jukwaa la Watanganyika lisichafuliwe.
Acha ubaguzi mkuu, mbona mambo ya dunia nzima tunayajadili hapa? Kama huna la kuchangia bora ungekaa kimya!
Dah!!.....kumbe inawezekana shetani akizeeka anaweza kuwa malaika.Acha ubaguzi mkuu, mbona mambo ya dunia nzima tunayajadili hapa? Kama huna la kuchangia bora ungekaa kimya!
Inatuhusu nini Watanganyika?
Mkuu hakuna haja ya kuwatukana!! Hayo ni maoni yao ingawa yanakera sana. Cha msingi tuangalie namna ambavyo rais alivyowekwa kwa interests za mafisadi.
Sote twajua Dr. Shein hakuwa na nia ya kugombea urais Zanzibar, mafisadi wakamuomba agombee kuficha madudu yanayofanyika katika serikali ya mapinduzi ya Zanzibar. Vita ya ufisadi inazaa ubara na uvisiwani, udini na ukanda pamoja na mambo kibao ili mradi mafisadi yaendelee kufanya yanavyotaka. Tuunganane kuyapiga vita.
Wakina ami wanaona poa tu imradi wanakula tende na ulojo
Nimekuelewa mkuu!Mkuu hakuna haja ya kuwatukana!! Hayo ni maoni yao ingawa yanakera sana. Cha msingi tuangalie namna ambavyo rais alivyowekwa kwa interests za mafisadi.
Sote twajua Dr. Shein hakuwa na nia ya kugombea urais Zanzibar, mafisadi wakamuomba agombee kuficha madudu yanayofanyika katika serikali ya mapinduzi ya Zanzibar. Vita ya ufisadi inazaa ubara na uvisiwani, udini na ukanda pamoja na mambo kibao ili mradi mafisadi yaendelee kufanya yanavyotaka. Tuunganane kuyapiga vita.
Watumwa wenye kiti UN, watumwa wenye Jeshi, watumwa wenye sarafu, watumwa wenye Passport, watumwa wenye uwezo wa kuiamrisha Zanzibar ijitowe OIC na Zanzibar ikatii!!........Interesting.nyinyi watanganyika kamwe hamuwezi kujigomboa na mtaendelea kuwa watumwa wetu kama mulivokuwa, fikra zenu ni finyu.