Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,263
- 685
Presidential Trust Fund(PTF) chini ya Rais Jakaya Kikwete
Huu mfuko umegeuka kuwa wa kisiasa badala ya kufanya kazi za kitendaji. Huu mfuko chini ya Dr Chijoriga, waliokopa wanaandamana wafanyakazi wanaandamana wakisema hela hakuna
Je source ya hizi hela zinatoka wapi??
Je hizi hela wanazodai zimeenda kwenye uchaguzi??
Source:TBC 4.08.2010
lets hope so.kura ya maoni
mgombea yupi utampa kura yako ya urais 2010?
Jakaya kikwete
7%
willbrod slaa
88%
ibrahim lipumba
4%
mutamwega mugahywa
0%
hashim rungwe
1%
paul kyara
0%
christopher mtikila
1%
peter kuga mziray
0%
total votes: 339
- <li class="comment_forbidden first">login or register to post comments
- older polls
JK ameikuta PTF kaitelekeza, kamteua mama mmoja anaitwa Mary Ibrahim Likwelile kuwa MD. Huyu mama ni failure kwa mambo haya ya fedha, hana Dira, hawezi kufaninikisha chochote. Alifukuzwa kazi somewhere kwenye USA Funded - Community Development NGO.
Cha kushangaza ilikuwaje PTF ikaruhusiwa ku Mobilise savings wakati haijawa regulated na BOT? Hii si ni DECI nyingine ndani ya Ikulu?
Wakuu,
Hivi mna habari zozote juu ya nani waliopata yale "mabilioni ya Kikwete"? Kuna habari kwamba wananchi waliuziwa mbuzi kwenye gunia kwa sababu ukiuliza mikoani ni fedha kiduchu sana zilizofika huko kutoka kwenye mfuko huo uliodaiwa ni wa mabilioni.
JK ameikuta PTF kaitelekeza, kamteua mama mmoja anaitwa Mary Ibrahim Likwelile kuwa MD. .
Mbona nilisikia kwenye TV moja Dr. Chijoriga ndiye aliyekuwa anatoa maelezo na sio huyo Likwelile? Halafu alisema huo unaitwa tu mfuko wa Rais sasa sijui kama ulikuwa na direct link na Rais aliyeko madarakani au la.