hapa kwenye elimu panahitaji maboresho makubwa kwa hawa wizara kujitazama upya!!!!
au ndo mazao ya waliofeli kukimbilia ualimu na hivyo kuishia wizarani na badae matokeo yake wizara yote inakuwa uozo?!
Nawaonea huruma wanangu huko mashuleni!!!!
moderator fanya mjadala maalumu wadau wachangie jinsi ya kuboresha hii wizara ili itupe ufanisi tunao utaka-na ujumbe uwapelekee hao bwana wakubwaa(wateuzi wa hawa watu).
so painfully...