Madrid wamekufa kiume lakini Barca lazima wafedheheshe waspain

obwato

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2012
Posts
1,188
Reaction score
365
Sote tumeshuhudia kiwango safi kilichooneshwa na mabingwa wa kihistoria wa UCL Real Madrid kiasi cha kuwafanya Dotmund waombee mpira uishe huku vijana wa Mourinho wakitiririka kama nyuki, kwa hili heshima ya Spain taifa linaloaminiwa na limesibitisha pasi na shaka kuwa ndio bora kwa sasa katika kutandaza soka la kitabuni. Lakini heshima hiyo itavurugwa kwa kipigo cha fedheha watakachopewa Barca huku wakiwa na wachezaji wengi zaidi wa timu ya taifa. Barca watafungwa 2 kwa 1 kwao na kufanya jumla ya 6 kwa 1 hii ni fedheha kwa taifa kubwa kama Spain.
 
imenikumbusha story ya yule Baunsa waliemnanihii lakini kwa mbiinde kweli...
 
We jamaa sijui ulizaliwa kipindi gani maana huishiwi maneno ya ajabu utadhani bwiga wa mbiguke mkole wa nyani kibwaya mkia.

Hah hah haaah Obwato nisikilize mkuu mwenzangu...
Hiyo story ya huyo Baunsa nadhani unaifahamu.
So mi naona ni the same na hii hadithi ya washabiki wa Madrid....
all in all nimefurahi sana.
Simpendi sana Jose Mourinho, naomba usichanganye...nimesema simpendi Jose Mourinho.
Ila huyu Mourinho hapo juu ni swahiba wangu na sehemu mbalimbali tunaiva chungu kimoja.
 
Kama usivyoipenda Inter!
 
Na nilimchukia Mourinho baada ya kwenda kufundisha hiyo timu na kisha kuanza kuporomosha maneno yake machafu kwa timu nyingine za Serie A...

Najua chuki ilianzia huko, usishangae akawa kocha wenu!
 
Thubutuuuu...
Milan hawana mfumo wa makocha wenye kuropoka.
Milan anayeropoka ni tranfer Guru Adriano Galiani na washabiki wao tu.
 
Shehe Yahaya c ulishakufa wewe?? Acha kuishi kwa ndoto, kufa kiume kufa ki'kike ni umekufa
Sote tumeshuhudia kiwango safi kilichooneshwa na mabingwa wa kihistoria wa UCL Real Madrid kiasi cha kuwafanya Dotmund waombee mpira uishe huku vijana wa Mourinho wakitiririka kama nyuki, kwa hili heshima ya Spain taifa linaloaminiwa na limesibitisha pasi na shaka kuwa ndio bora kwa sasa katika kutandaza soka la kitabuni. Lakini heshima hiyo itavurugwa kwa kipigo cha fedheha watakachopewa Barca huku wakiwa na wachezaji wengi zaidi wa timu ya taifa. Barca watafungwa 2 kwa 1 kwao na kufanya jumla ya 6 kwa 1 hii ni fedheha kwa taifa kubwa kama Spain.
 
Jana Gundogan na Lewandowski walikuwa waimalize madrid mapema kabisa,ronaldo hamna alichofanya jana mats hummels alikuwa imara,luka modric na essien wachezaji hao walikuwa kwenye kiwango cha juu.
 
Kifo ni kifo iwe kwa Malaria iwe Ukimwi hatimaye umekufa
 
Suala sio kufa kiume,cha muhimu je amefanikiwa kuingia fainal,au ndio kujipa moyo!na Mungu c mzee mkumba na kama angeweza kupindua matokeo cjui makocha wengine wangeweka wapi sura zao!nadhani angejipachika jina jingine tena.
 
Shehe Yahaya c ulishakufa wewe?? Acha kuishi kwa ndoto, kufa kiume kufa ki'kike ni umekufa

Ha ha ha haa, mbona kila kukicha wanazaliwa wapya mkuu? Hukumbuki hata ushindi wa Laila Odinga ulitabiriwa na watanzania mashuhuri tu? Huwezi kufananisha aliyekufa kwa kujinyonga kisa kakataliwa na demu wake na aliyekufa kwa kukabiliana na majambazi wenye SMG ili mali zake zisiondoke kikondoo japo wote wamekufa.
 
Suala sio kufa kiume,cha muhimu je amefanikiwa kuingia fainal,au ndio kujipa moyo!na Mungu c mzee mkumba na kama angeweza kupindua matokeo cjui makocha wengine wangeweka wapi sura zao!nadhani angejipachika jina jingine tena.

icho ndio nilitamani sana kitokee maana mdomo wa Mourinho hauna tofauti na Gang Chomba from no where anaweza kuchoropoa mneno wote mkapata maumivu ya mbavu, tungeinjoy sana wapenda soka.
 
Sote tumeshuhudia kiwango safi kilichooneshwa na mabingwa wa kihistoria wa UCL Real Madrid kiasi cha kuwafanya Dotmund waombee mpira uishe huku vijana wa Mourinho wakitiririka kama nyuki, kwa hili heshima ya Spain taifa linaloaminiwa na limesibitisha pasi na shaka kuwa ndio bora kwa sasa katika kutandaza soka la kitabuni. Lakini heshima hiyo itavurugwa kwa kipigo cha fedheha watakachopewa Barca huku wakiwa na wachezaji wengi zaidi wa timu ya taifa. Barca watafungwa 2 kwa 1 kwao na kufanya jumla ya 6 kwa 1 hii ni fedheha kwa taifa kubwa kama Spain.
Aksante mkuu kwa uchokozi wako, naona Barca kufungwa inakuuma mno. Mungu atatusaidia leo tufuzu kwenda fainali, tusubiri.
 
Back
Top Bottom