Tokea nikiwa mdogo nilikuwa napenda kumsikiliza Madonna, vibao vyake vya Papa dont Preach, La Isla Bonita na Holiday vinanikumbusha Redio Cassette yetu double decker ya Panasonic.
Ila Plastic surgery zinamfanya aonekane bint wa miaka 25. Happy birthday Queen of Pop.
Ana vituko lakini kipaji cha mziki anacho, namkubali sana Madonna, napenda nyimbo zake kama Frozen, power of goodbye, substitute for love, holiday, na nyinginezo

Alikuwa mpenzi wa 2pac Shakuru. Walikuwa wanabanduana sana. Kama 2pac angekuwepo angekuwa kwy miaka kama 48.
2pac alikuwa Serengeti boys wake. Shuga Mammy wa nguvu. Huyu ndio muasisi wa Mashuga Mammy ambao wakina Emanuel Macron wa ufaransa wameiga kwa 2pac