Madogo achaneni na masingle mother

Sasa ukute huyo mwanamke ni single mother utajuta kudate single mother,aisee kuoa single mother ni sawa na kubeba gunia la misumari afu umenyoa upara

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtoto siyo wako afu anasema nampenda sana mtoto wangu kuliko kitu chochote
 
Tupe mkasa huo mkuu, natanguliza shukrani
 
Single mother wanajilengesha sana,hakuna mwanamke mrahisi kumpata kama single mother
Sasa nani ana matatizo hapo Kama sio wewe unaepagawa nae? Nini hasa mnalalamika Kama mnapata mnachokitaka?
 
We mshenzi kweli....yan kwaio kwavile ww hutaki masingle mama basi wanaume wenzio nao wasiwe nao kwani masingle mama hawana k au mtu ukisha zaa tu unakua hujakamilika .....
 
Mkuu umenena sawa kabsa
 
Nyambafuuu umeua walahi.Kumbe@ni ngumu?Sio laini?Nionyeshe tepetepe tuburudike.

Kiongozi,Hahahahaha!!!!
 
Bro. We nawenzako sindiyo mliwamwagia uji wa moto kwenye kinu? Mimba llipoonekana mkakimbia sasa sisi tunafuta lawama.

Vijana endeleeni na kazi ya kuwapunguza hawa wanawake, tena wengi warembo tu kuliko hao ambao hawajazaa watoto!

Aluta continua. Mapambano.

My assumption:

Kuishi na single mother ni kipimo cha ukomavu wa akili ya mwanaume!
 
Labda pia kuna "double mother"... Kitu ambacho mwenye post hajui ni kuwa radha ya mdogo wake anaipatia kwa watu wa namna hiyo, hawezi fanya mapenzi kwa kutumia radha za kuambiwa.
Hivi hili neno 'single mother' tafsiri sahihibya kiswahili ni nini? Amezaa njee ya ndoa, mtoto hana baba kabisa (ubin), ana baba ila hawakai pamoja...mwenye uelewa tafadhali !
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtoto siyo wako afu anasema nampenda sana mtoto wangu kuliko kitu chochote
Kuna mmoja nilikuwa namsomesha mtoto wake,nimemtoa mtoto kayumba nikawa namlipia ada English medium 1.9 million,nikajikuta na mimi baba bora,sasa Kuna siku kuna mwanangu mmoja alipata kesi,nikamsaidia 20 million na ndo nilikuwa nayo hiyo hiyo,na huyo jamaa ni mwanangu sanaaa ameshanisaidia mambo mengi mnoo, amekuwa ni dalali mzuri sana kwangu,likitokea dili tu fasta ananipigia,sasa demu akakasirika kisa nimechelewa kulipa ada kwa siku tatu dogo yupo home tu,maana hela niliyomsaidia huyo jamaa yangu ndo nilipanga nitachomoa million moja nilimpie ada mtoto wake,yeye akaninunia eti namjali jamaa yangu kuliko mtoto wake,ohoooo!!!! Nilimwacha kwenye mataa hakuamini,nikaamsha sikulipa ada na kodi ya nyumba akafukuzwa pumbavuuu sana,haya mambo ya kusaidia saidia watu mwisho mtu utaonekana bwege
 
aaaa!!!! wapiii???
 
Nyeeee zao atatoa nani tukiachana nao
 
Ana matatizo yule anayetambua kabisa kuwa single maza anajilengesha akashawishika kwa nyege zake hlf baadae akaanza kulalamika.
Kusema haifai kuoa single mother ni tatizo??? Ni sawa na nyie mnavyosema siwezi kuolewa na mwanaume asiye na pesa
 
Tatizo ni moja tu, wanaolalamika sio single mothers ila ni wanaume wenzangu!

Kuna shida somewhere!
 
Kusema haifai kuoa single mother ni tatizo??? Ni sawa na nyie mnavyosema siwezi kuolewa na mwanaume asiye na pesa
Sio tatizo kabisa. Na pia sio tatizo Kama utaamua kuoa endapo utampenda sio uone kabisa anajilengesha hlf unaingia mzima mzima lazima akutende tu.
Kuolewa tunaolewa na pesa hakuna ndo mapenzi hayo πŸ˜€πŸ˜€
 
Duuu,single mom's mnalo hilo.Vumilieni tu kwani mapenzi ya kuzaa nje ya ndoa huenda hamkuyataka nyie bali bahati mbaya tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…