Sima jacson
Senior Member
- Apr 30, 2019
- 135
- 66
Men are tne source OF single mothers! And always are complaining instead of finding the solution, Why???Lengo si kuwakejeli watu hao bali ni kisa tu kama visa vingine. Kuna nyuzi za madogo wa 26> ages wamedata sana kwa single mothers.
Back to the story;
Nina mdogo wangu mmoja ana miaka 24, na anapiga boda boda. Toka abarehe hajawahi kuopoa videm vya level zake,yeye ni mitandam tu kwa kigezo cha ghalama na upatikanaji ( cost and availability). Mwaka Jana nilikutana nae na nikamshauri achane na watu waliomzidi umri na atafute wa chini yake (17 - 20),akakubali.
Hakubadili msimamo akawa anatembea na masingle mother wenye watoto 2,3,4 na akipata mwenye mtoto 1 atajisifu kama kapata bikra.
Juzi kati alinambia bro nimepata kitu kikali na nitakileta ukione. Wakaja home dogo na shem, nikaandaa msosi wanguvu, na nilifurahi sana. Sifa za Shem ni white, short chases na churalized woman. Nikamkubali dogo kwa uchaguzi alioufanya.
Jana nimekaa na wife nikawa namsifu dogo kwa uchaguzi mzuri na kuachana na masingle mother. Aisee wife alinicheka mpaka akanikera, baadae akanambia "kazi zako zinaluweka mbali na jamii". Akaendelea kwa kusema kuwa yule binti anamjua na anawatoto 4!! Ila umbo ndo linambeba. Nikamtafuta sister nae kanipa the same Info's.
Agghh aisee hali niliyonayo huyu dogo lazima anirudishie hela niliyotumia kumpongeza. Nilipokuwa nae kabla nilimshauri amuoe kabisa yule dada ila kwasasa mhhh!
Akioa hapo huyo hata handicap inagoma, 1 × 2 ni 0 - 4 kabla ya mechi. Nimeshamwambia kuwa lazima arudishe hela yangu sitaki upuuzi mimi.
Bora huko maana huyo mtoto unakuwa umezaa nae wewe
Tatizo lenu huwa hamsahau mlipotoka....
Tatizo huwa mnajilengeshaKwani tunawalazimishaga jamaniii, mnatupenda wenyewe lkn
Ah wapi, nyege zenu tuTatizo huwa mnajilengesha
[emoji23][emoji23]hii vita hsitsisha mura kama waisraeli na wapalestinaMpaka sasa Wanaume wa JF 3- Single mother 0!
Hii vita sijui itakuja kuisha lini humu ndani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23] pia uzuri wenu nyie ni easypick hamzingui nikija na zawadi ya mtoto cku mbili 3 ...napewa mzigo mtaishia kuzalishwa kila mtt na babae.Ah wapi, nyege zenu tu
Hivi hili neno 'single mother' tafsiri sahihibya kiswahili ni nini? Amezaa njee ya ndoa, mtoto hana baba kabisa (ubin), ana baba ila hawakai pamoja...mwenye uelewa tafadhali !
Unaweza ukawa sahihi, na sisi hatuna tatizo. Tatizo mnalalamika as if mmelazimishwa, sie hatulalamiki gongeni muende[emoji23][emoji23] pia uzuri wenu nyie ni easypick hamzingui nikija na zawadi ya mtoto cku mbili 3 ...napewa mzigo mtaishia kuzalishwa kila mtt na babae.
Kwahiyo kwa lugha rahisi ni kwamba tunajishtukia eti!Unaweza ukawa sahihi, na sisi hatuna tatizo. Tatizo mnalalamika as if mmelazimishwa, sie hatulalamiki gongeni muende
TunakuwaUnaweza ukawa sahihi, na sisi hatuna tatizo. Tatizo mnalalamika as if mmelazimishwa, sie hatulalamiki gongeni muende
Mnajishtukia vibaya mno, na sie Ni nyege tu zinatusumbua hatuhitaji mje kujenga boma. Tusokotane kila mtu apite hivi...ukiona anafaa kuoa oa at your own risk.Kwahiyo kwa lugha rahisi ni kwamba tunajishtukia eti!
Acheni kelele basiTatizo viuno kama fan bovu ndo vinavyotupagawisha[emoji1787][emoji1787] Tunakuwa
Basi sawa! jioni wanaume tutakuwa na kikao chetu tukubaliane kama single mother na kuwagegeda tu kuoa tuwaachie akina KAPUYAMnajishtukia vibaya mno, na sie Ni nyege tu zinatusumbua hatuhitaji mje kujenga boma. Tusokotane kila mtu apite hivi...ukiona anafaa kuoa oa at your own risk.
BoraBasi sawa! jioni wanaume tutakuwa na kikao chetu tukubaliane kama single mother na kuwagegeda tu kuoa tuwaachie akina KAPUYA
Sasa ukute huyo mwanamke ni single mother utajuta kudate single mother,aisee kuoa single mother ni sawa na kubeba gunia la misumari afu umenyoa uparaYeah sure ndiyo mana at least tunaweza kuvumilia