Madogo achaneni na masingle mother

Ila tuache masihara jamani single mother wengi hua ni watamu kinoma.
Hilo tu ndio linatufanya vijana wengi hatutaki ushauri wala nasaha juu yao.
 

Wewe jamaa lazima ushawahi kuwa na single maza, mana duh hizi point zote za kweli, big up man
 
Wakati mwingine anakuambia kabisa kuwa nampenda sana mwanangu kuliko kitu chochote.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu yalishawahi kukukuta nini????
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] mbona hata huku upande wa pili huwa tunapigwa hizo pini lakini tuna vumilia na kwenda kunywa konyagi kusawazisha hali
 
Okay mi sijaelewa tatizo ni lipi, kwamba atakuwa anahudumia hao watoto ama?
What is the problem with single mothers
 
Tukisema wanawake wasiolewe na wanaume waliozalisha watoto nje ya ndoa kwakuwa hawajielewi and not responsible itakuwa ni sawa pia
 
Ujue Single maza wengi ndo wenye penzi tamu kutokana na viuno vyao kuwa flexible, we lala na binti ambaye hajaza na yule ambaye meshazaa katika age sawa utaona utofauti, na ndo maana vijana wanapewa mambo mazuri hawatoki huko.
 
Hivi hili neno 'single mother' tafsiri sahihibya kiswahili ni nini? Amezaa njee ya ndoa, mtoto hana baba kabisa (ubin), ana baba ila hawakai pamoja...mwenye uelewa tafadhali !
Single mother ni mama aliyezaa halafu mzazi mwenzake haishi nae kwa sababu mwanaume hakumuoa au sababu nyinginezo. Heri single mother kuliko aliyetoa mimba zisizo na hesabu. Kuwa single mother sio kosa wala sifa mbaya, labda mama hiyo awe na tabia mbaya kwa asili kama walivyo binadamu yeyote . Wapo single mother walioolewa na wakajenga miji vizuri. Lakini ni nadra kukuta msichana aliyetoa mimba kadhaa kuona akawa mke mwema .
 
Watoto 4?

Mbaya zaidi kama aliwazaa kwa baba tofauti lazima mdogo wako apate pressure.

Kiukweli huwa nawapenda single motherz ila awe na mtoto mmoja na kwa vigezo na masharti vizingatiwe.
Vigezo gani
 
Umewashauri kuwapiga miti,vipi kuwazalisha je?? Au na hiyo ni marufuku??
 
Masingle mama wanaboa tu kwa kuona mtoto alie nae ana thamani kuzidi ww uliempenda kila mara anakutajia mwanae mwanae wanakera sana alaf ukimuacha anaanza lawama
[emoji16][emoji16][emoji16] inaonekana una uzoefu nao sana
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] inaonekana una uzoefu nao sana
 
Tukisema wanawake wasiolewe na wanaume waliozalisha watoto nje ya ndoa kwakuwa hawajielewi and not responsible itakuwa ni sawa pia
Wakisema wakina nani?? Hapa wanaosema ni wakina nani??
 
Pabaya pale wanasema nipo tayari kufanya lolote kwa ajili ya mwanangu alafu gafla anakwambia mzazi mwenzie kapiga simu au wanawaita baba mtoto wangu
Kuoa single mother ni kujitafutia complications zisizo na msingi,samahanini sana single mothers
 
Bora huko maana huyo mtoto unakuwa umezaa nae wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…