LAMBOFGOD
JF-Expert Member
- Aug 12, 2016
- 1,561
- 1,319
Habari za saa hizi wanajukwaa, poleni kwa majukumu mbalimbali mliyokutana nayo siku ya leo katika kuhakikisha mnayaendesha maisha tena bila leseni ili mkono upate kufika kinywani na siyo maisha kutuendesha.
Mafundi wa computer naombeni msaada wenu juu ya kuformat/kuinstall windows kwenye computer, aina ya Hp EliteBook 8440p, core i5 kwa sababu kila nikiboot from USB, haiboot bali inastart normally, hivyo basi naomba mwenye kujua maybe setting za BIOS kwenye boot sequence anisaidie.
Karibuni kwa msaada na mchango wa kitaalam.