Mzee wa kusawazisha
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,587
- 1,136
Chanzo kulikua Kuna watu Wanagombana Sasa yeye akapatwa mshituko akaishiwa Nguvu ndipo anadondoka mimi nimeitwa kazini Kua mkeo ameanguka nilistuka Sana.
Nimeenda nikamkuta amelala anapata pumzi kwa shida Toka siku Ile juma 4 Adi Leo hata kusimama hawezi.
Kwa Sasa yupo hospital alipewa drip za maji ila bado tu na alichukuliwa damu vipimo vyote viko Sawa isipokua pressure ilikua iko chini kidogo, Jana daktari alikuja kumchek akamwandikia dawa ila tunajiuliza kwa nini akikunja mguuu anahema kwa shida? Kama Kuna mtu Ana uzoefu na hii ishu aisee hatari..
Narudia tena akijaribu kukunja mguu pumzi Zina mbana na anakua kama mtu Mwenye mapepo
Sent using Jamii Forums mobile app