Madktari mnisaidie mke wangu ameanguka gafla na hawezi hata kusimama miguu inamuuma

Mzee wa kusawazisha

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
1,587
1,136
Chanzo kulikua Kuna watu Wanagombana Sasa yeye akapatwa mshituko akaishiwa Nguvu ndipo anadondoka mimi nimeitwa kazini Kua mkeo ameanguka nilistuka Sana.

Nimeenda nikamkuta amelala anapata pumzi kwa shida Toka siku Ile juma 4 Adi Leo hata kusimama hawezi.

Kwa Sasa yupo hospital alipewa drip za maji ila bado tu na alichukuliwa damu vipimo vyote viko Sawa isipokua pressure ilikua iko chini kidogo, Jana daktari alikuja kumchek akamwandikia dawa ila tunajiuliza kwa nini akikunja mguuu anahema kwa shida? Kama Kuna mtu Ana uzoefu na hii ishu aisee hatari..

Narudia tena akijaribu kukunja mguu pumzi Zina mbana na anakua kama mtu Mwenye mapepo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ungeweka huu uzi kwenye jukwaa husika "JF Doctor" ungepata msaada kirahisi maana watu wengine hawapitagi huku....pole in advance

say some mama Sky Eclat
 
Mshirikishe Mungu katika kila jambo,haijalishi kama hospitali kuna dawa lakini mara zote mtangulize Mungu ili aweze kukuongoza vema upate tiba sahihi ya mgonjwa wako,yawezekana ni matatizo yanayohitaji tiba za hospitali,lakini pia yawezekana ni magonjwa yanayohitaji uponyaji wa kiroho kupitia maombi,so don't waste too much time before its too late...
 
Ubarikiwe mkuu naamini hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sishauri ampeleke kwa Wachungaji, hakuna kitu kinaitwa kuponywa kwa maombi kwa hawa wachungaji wetu as wengi ni wajasiliamali.

Mpeleke mkeo hospitali inayoeleweka tafadhali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chanzo kulikua Kuna watu Wanagombana Sasa yeye akapatwa mshituko akaishiwa Nguvu ndipo anadondoka mimi nimeitwa kazini Kua mkeo ameanguka nilistuka Sana.
Nimeenda nikamkuta amelala anapata pumzi kwa shida Toka siku Ile juma 4 Adi Leo hata kusimama hawezi.
Kwa Sasa yupo hospital alipewa drip za maji ila bado tu na alichukuliwa damu vipimo vyote viko Sawa isipokua pressure ilikua iko chini kidogo, Jana daktari alikuja kumchek akamwandikia dawa ila tunajiuliza kwa nini akikunja mguuu anahema kwa shida? Kama Kuna mtu Ana uzoefu na hii ishu aisee hatari..
Narudia tena akijaribu kukunja mguu pumzi Zina mbana na anakua kama mtu Mwenye mapepo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mode waupeleke uzi huu jf doctor
 
Mshirikishe Mungu katika kila jambo,haijalishi kama hospitali kuna dawa lakini mara zote mtangulize Mungu ili aweze kukuongoza vema upate tiba sahihi ya mgonjwa wako,yawezekana ni matatizo yanayohitaji tiba za hospitali,lakini pia yawezekana ni magonjwa yanayohitaji uponyaji wa kiroho kupitia maombi,so don't waste too much time before its too late...
pathetic
 
Kuna watu wanamsifu sana mchungaji Eliona kimaro nashindwa kuwa tag ili wamwambie aje hospital kufanya "deliverance"

Anyway Kama pressure imeshuka basi tafuta kinywaji kinaitwa "guiness" mpe glass moja.

Epuka kumuogesha mtu aliyeshukwa na pressure!!!
 
Haka kamshikaji huwaga nakfuatilia threads kanazo post mi huwaga sielewi, sijui ndo kiki zenyewe au ili tukajue kua kenyewe ni ka invisible man

Any way,

The true definition of Democracy.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom