Chadema Diaspora
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 480
- 644
Mkuu, shida ya wasanii wa Tz ni hamna rlimu kichwani. Huko wanawaza ngono tu!Hapo Lowassa na timu yake haijaanza kuzunguka nchi nzima !!Ccm wapo busy kualika wasanii dinner !!Wasanii piganieni hati miliki ya kazi zenu sio kuvaa suti na kupiga picha na Magufuli,wenzenu wa Nigeria wana hati miliki ya kazi zao ata wakiugua hawapitishi vikapu vya kuomba msaada kama nyie
Ningeomba uanzishe uzi wa kuwatoa matongotongo hawa wasanii wetu waache kutumiwa kama mshumaa.Hapo Lowassa na timu yake haijaanza kuzunguka nchi nzima !!Ccm wapo busy kualika wasanii dinner !!Wasanii piganieni hati miliki ya kazi zenu sio kuvaa suti na kupiga picha na Magufuli,wenzenu wa Nigeria wana hati miliki ya kazi zao ata wakiugua hawapitishi vikapu vya kuomba msaada kama nyie
mbona wote ni kazikazini tu...? I have a doubt...!!!
Akili zao zinafanya kazi mapema hawadanganyiki hovyo!!mbona wote ni kazikazini tu...? I have a doubt...!!!
mkuu,madiwani wote wa ccm Tabora wamehamia chadema jana,sijui ulichelewa kupata taarifa? Wewe unaambiwa madiwani wa arumeru,halafu unauliza eti mbona wote wa kaskazini!! Kwani kuna arumeru ya kusini?mbona wote ni kazikazini tu...? I have a doubt...!!!
</script>" style="width:100%; height:100px" dir="ltr">mkuu,madiwani wote wa ccm Tabora wamehamia chadema jana,sijui ulichelewa kupata taarifa? Wewe unaambiwa madiwani wa arumeru,halafu unauliza eti mbona wote wa kaskazini!! Kwani kuna arumeru ya kusini?