technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,694
- 58,737
Kwa taarifa yako tu baba yangu ni professor hapo kwenye chuo kimoja hapo nyumbani Tanzania........hv wew ukiambiwa uletu angalau ndugu zako 5 wanao fananafanana tu na prof. uchwara utaweza, acha kuaminishwa na kukaririshwa na masilahi ya watu, wanao endekeza siasa chakavu zafaida zao!
Lakini sio msomi uchwara kama huyo....