Wanajf, kwa takribani kwa miaka mitano iliyopita Manispaa ya Moshi imekuwa kinara wa miji misafi kabisa kwenye ukanda huu wa Afrika Mashariki. Jambo la kushangaza ni kwamaba sheria ndogo ndogo zilizokuwa zimepitishwa na ambazo zilisaidia sana kuweka mji kwenye hali ya usafi zimeondolewa na madiwani wa cdm kwa kisingizio ya kwamba ni sheria kandamizi . Kutokana na kufutwa kwa sheria husika kwa nguvu ya madiwani wa cdm mji wa moshi kwa sasa umepoteza sifa ya kuwa mji msafi kuliko miji yote hapa Tanzania.

Wanajf,
Kwa takribani kwa miaka mitano iliyopita Manispaa ya Moshi imekuwa kinara wa miji misafi kabisa kwenye ukanda huu wa Afrika Mashariki.
Jambo la kushangaza ni kwamaba sheria ndogo ndogo zilizokuwa zimepitishwa na ambazo zilisaidia sana kuweka mji kwenye hali ya usafi zimeondolewa na madiwani wa CHADEMA kwa kisingizio ya kwamba ni sheria kandamizi .
Kutokana na kufutwa kwa sheria husika kwa nguvu ya madiwani wa CHADEMA mji wa moshi kwa sasa umepoteza sifa ya kuwa mji msafi kuliko miji yote hapa Tanzania.
Hujui ukisemachona njaa inakusumbua, sheria hizo zilitungwa na chadema na sasa wazipinge?! Ndugu usifikiri moshi ni lumumba.
Source please
Mbona hauongelei kuhusu barabara safi za rami na kuongezeka mapato ya ndani kutoka bilion 1.8 kwamwaka kabla CDM hawajashika manispaa mpaka bilion 4.2 baada ya CDM kushika manispaa?Wanajf,
Kwa takribani kwa miaka mitano iliyopita Manispaa ya Moshi imekuwa kinara wa miji misafi kabisa kwenye ukanda huu wa Afrika Mashariki.
Jambo la kushangaza ni kwamba sheria ndogo ndogo zilizokuwa zimepitishwa na ambazo zilisaidia sana kuweka mji kwenye hali ya usafi zimeondolewa na madiwani wa Chadema kwa kisingizio ya kwamba ni sheria kanadamizi.
Kutokana na kufutwa kwa sheria husika kwa nguvu ya madiwani wa CHADEMA mji wa moshi kwa sasa umepoteza sifa ya kuwa mji msafi kuliko miji yote hapa Tanzania.
Safi sana. Ulipata ile kitu roho yako ilikuwa inatafuta. Siku ingine utafahamu kuwa Moshi siyo mahali pa kujiachia na mauchafu yako. Kwa experience hii sishangai kuwa post yako inaonesha kuwa mji wa Moshi umekubowa ile mbayaa. Pole lakini ni kwa mafunzo kama haya tu ambapo heshima inajengeka.Ni upuuzi mtupu hakuna cha mji msafi wala nini, nilipita pale Moshi bus stand the way to Dar nikatupa nikanunua maji ya kilimanjaro wakati narudi kwenye bus pale mlangoni nikaangusha kikaratasi kidogo cha kwenye kifuniko cha maji nikakiokotA, hao jamaa wa usafi walinifuata mpaka ndani ya bus wakanishusha wakanipileleka ofisini kwao pembeni ya police station ya Moshi mjini wakanipiga faini ya elfu50 nikalipa kurudi stand bus limeniacha na mizigo imeenda na bus kika kitu kikapotea.
Cha kushangaza ukienda pale pembeni ya bus stand wanaita double road the way to stand ya Mboya barabara ni chafu mitaro haifai sasa unakuja unajiuliza huo usafi wa mji wa moshi uko pale bus stand kuu tu au wapi??
Acheni utapeli nyie kina Makupa, matapeli wa TAG