Tanzania Daima,kwi kwiii kwiii....Gazeti gani kwako linaandika ukweli?!mwananchi sikulikiandika mnavyotaka mnalisifia likiandika msivyotaka mnaliponda....msiyumbishwe na mapenzi hamna binadamu mkamilifu
Vikao pia hamuudhurie au?Wakuu
Hii stori ni ya uongo.Badao msimamo wetu hatumtambui MEYA.Na tangu awali nilipinga ubadhirifu wa mali ya umma,ufisadi wa kutisha wakati wa uzinduzi wa jiji.Kinachofanyika sasa ni kujaribu kubadilisha HOJA ya ufisadi wa kutisha ili watu waanze kujadili swala la kumtambua Meya,huku wakijua wazi kuwa ni uwendawazimu.
msimamo wetu CHADEMA Arusha Hatumtambui MEYA.
Mkuu wangu nngu007 nakuheshimu sana............................ lakini kwa kupost hii thread kutoka gazeti la Jambo leo umetudharau mkuu. Unaposema Jambo leo manake ni sawa na kusema Gaudence Lyimo, au Kikwete au CCM
hilo ni sawa na yale ya UDAKU