Mwan mpambanaji
JF-Expert Member
- Apr 3, 2008
- 482
- 131
Wadau
Kuna mvutano mkubwa sana kwenye kikao cha baraza la madiwani,baada ya meya na madiwani wa ccm kususia kikao na kutoka nje,kwa madai kuwa Mkurugenzi anawadharau,sasa wamebaki madiwani wa CHADEMA na TLP
Wadau,
Kuna mvutano mkubwa sana kwenye kikao cha baraza la madiwani,baada ya meya na madiwani wa ccm kususia kikao na kutoka nje,kwa madai kuwa Mkurugenzi anawadharau,sasa wamebaki madiwani wa CHADEMA na TLP.
Nuru yaanza kuwaangazia Tz. taratibu, kwani sasa ni zamu ya maccm kuweka mpira kwapani Arusha wanaanza kupoteza matumaini taratibu.
I doubt kama mleta mada anauhakika na alichokisema,ninavyowajua MACCM,sio rahisi kuweka mpira kwapani wanajisemea kila siku wao ndo wenye nchi,mkurugenzi ameletwa na wao sasa watakimbiaje kikao?pls try to get more info on this,otherwise will termed this as a mere allegation
Hivi huyu ndo alikuwa moshi? Sure ?Uzuri wa huyo mama anasimamia haki hataki ubabaishaji, si mnakumbuka ndiye alikuwa Moshi, nako nakumbuka madiwani wa CCM waliandamana mpaka kwa Lowassa akiwa waziri mkuu kuwa hatumtaki huyo mama. Mama akili yake iko juu sana ujinga huwa hapendi kabisa
Haohao waliobaki wafanye maamuzi ya dhumuni la kikao hicho kama walivofanya wabunge wa CCM na Lyatonga Mrema kuhusiana na rasimu ya katiba mpya hivi majuzi. Jino kwa jino!