Madiwani Serengeti wameungana na aliyekuwa mbunge wao Chacha Ryoba kuisulubu CHADEMA

Sasa nadhani hii ni inaitwa jina maarufu kamali ya wajinga na wajinga ni sisi wenyewe kuamua hisia zetu
 
Hivi baby ingeluwa ndo wewe maalim seif, kwa hali waliokuwa nayo chadema ungehama kweli? Ebu sema ukweli
Ha ha kapakatwe huko chadema ipo itakuwepo na itasonga mbele akikubemenda mwambie anatwanga maji kwenye kinu
 
Ha ha kapakatwe huko chadema ipo itakuwepo na itasonga mbele akikubemenda mwambie anatwanga maji kwenye kinu
Sijasema kama chedema haipo. Naona hujanielewa. Mi nauliza hali ya sasa ya chadema. Yaani hali no mbaya kiliko unavyofikiria. Wewe mwenyewe si unaona. Watu wanahama kila siku. Uchaguzi wa hivi karibuni atujapata hata kita cha mabua kama si cha mbao
 
Wasaliti hao mbowe hawezi kujiuzulu kwa kuondoka wasaliti
Mwenyekiti Mbowe,kulikoni?,kama unaona ngumu kujiuzuru mrithishe chama mdogo wako,ruzuku utaendelea kuipata tu,kuliko hii fedheha,inashangaza kuona hua mko makini kuwaambia viongozi wa serikali wajiuzuru kwa dhana ya uwajibikaji. sasa yanayoendelea ndani ya chama chako kwa nini usijiuzuru kuonyesha dhana ya uwajibikaji?au mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu?
 
Endeleeni kuwafanyia usodoma hao amnao wasajili mjaze mambwiga kwenye hilo genge lenu la kigaidi.
 
nawashauri viongozi wote wa chadema wanaotamani kuunga juhudi watoke sasa. mbowe anaweza kuwa na mapungufu yake ila hili la watu kuunga juhudi tunamuonea. huwezi kuhama chama kama unabadilisha nguo. kama taifa tuna shida....
 
Mwenyekiti Mbowe,kulikoni?,kama unaona ngumu kujiuzuru mrithishe chama mdogo wako,ruzuku utaendelea kuipata tu,kuliko hii fedheha,inashangaza kuona hua mko makini kuwaambia viongozi wa serikali wajiuzuru kwa dhana ya uwajibikaji. sasa yanayoendelea ndani ya chama chako kwa nini usijiuzuru kuonyesha dhana ya uwajibikaji?au mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu?
Mkuu kumbe wanajiuzulu kwa sababu ya Mbowe na sio kuunga mkono Juhudi?
 
Mkuu ,lugha za namna hii ndizo zinazoiangamiza chadema

Mkuu hao viongozi kuondoka ndio kufa kwa cdm? mbona sisi mashabiki tupo na wala hatujali wala kuvutika huko wanakoenda hao viongozi? Hizo mbinu za kuua vyama vya upinzani zilifanikiwa siku za nyuma kabla wananchi hawajajitambua, lakini kwa sasa mbinu hizo zimekuwa za kizee mno. Nadhani ili kujua wananchi wamejitambua umeona idadi ya wapiga kura ilivyo ndogo. Na ukitaka kuamini nenda kwenye makundi ya watu mbalimbali ongea nao kama wanaamini wanachoongea hao viongozi wanaohama. Nikiwa kwenye hali hii huwa napata burudani ile mbaya. Hao kitengo wanawaingiza mkenge watu wameshaamka kaka.
 
Sijasema kama chedema haipo. Naona hujanielewa. Mi nauliza hali ya sasa ya chadema. Yaani hali no mbaya kiliko unavyofikiria. Wewe mwenyewe si unaona. Watu wanahama kila siku. Uchaguzi wa hivi karibuni atujapata hata kita cha mabua kama si cha mbao

Unajitia hid Ina propaganda za kichina mwambie mwenyekiti wako ache uoga kashuka kwa 55% mpaka uchaguzi mkuu atakuwa na 20% anatia huruma kwa sababu hana uwezo wa kuongozaAtatumia ma jeshi hata kuwa na legitimacy kama Ali yo sasa chaguzi hazipo kwa sasa kila Mtu anajuwa mwenyekiti wako anajitahidi kununua nguvu ya wananchi l
 
Hakuna ushindi unaoporwa,kasi ya Rais Magufuli ni zaidi ya 4G,Usipime,wananchi wamemuelewa

Wananchi hao waliomuelewa tungewaona kwenye kupiga kura, hiyo kasi hata angepeleka bomba la maziwa kila nyumba. Kana hupendwi basi hupendwi tu. Kaka huwezi kuamini watu wakibadilika wamebadilika tu. Nadhani umeona hata hii mikutano ya kampeni ya cdm ya uchaguzi bado watu kibao tu. Hebu mwambie Lyatonga afanye mkutano kama utamuona na nyomi. Hata Mbowe akijiunga na ccm ataenda yeye na familia yake, huoni Slaa kaondok lakini watu wana lifeel tu chama la wana?
 
Back
Top Bottom