Madiwani na Mameya na Tender za Kupeana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madiwani na Mameya na Tender za Kupeana

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Albedo, May 8, 2011.

 1. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #1
  May 8, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Leo nilikuwa katika Maongezi tukawa tunaongelea hoja ya Kwa nini kila Mwaka Hizi Barabara za Halmashauri huwa Zinakwanguliwa tu, kwamba kwa nini kusiwe na Mpango wa kujenga barabara ambazo ni sustainable?

  Jibu nililolipata Nimechoka

  Kwamba Mameya na Madiwani ndio wanaomiliki Kampuni za Ujenzi wa Barabara pamoja kampuni za Kuzoa Taka na wanapeana Zamu za kupenana Tender kila mwaka wa Fedha ndio maana kila mwaka Barabara zinetengenezwa chini ya kiwango ili Mwakani Wengine wapate KULA

  Naona hili ni eneo linalohitaji kuangaliwa maana kila mwaka Fedha za Walipa Kodi zinaishia Mifukoni mwa MAMEYA na MADIWANI wenye VIKAMPUNI vyao vya Ujenzi

  Kama ni Kweli Shame on You
   
Loading...