Baraza la madiwani wa Halmashauri ya Kiteto mkoani Manyara, limepitisha rasimu ya bajeti ya bil 25,197,685,726.75 kwa mwaka 2020/2021.
Maeneo ya vipaumbele ni kuboresha ukusanyaji wa mapato, kutenga 10% za vijana akinamama na walemavu, kuongeza uzalishaji wa mazao ya chakula na mifugo, kukamilisha upimaji wa vijiji, utoaji wa elimu bila malipo shuleni, kuongeza kiwango cha ufaulu.
View attachment 1341112
Sent using
Jamii Forums mobile app