Huku Mbagala tuna Matatizo kibao lakini huyu mbunge Ndungulile nilimuona Mara ya mwisho wakati wa kampeni 2010. Sasa hivi hata bungeni hasemi lolote kutwa anashinda chako ni chako akitafuna vipande vya kuku na bia
Wenzake wakina Mnyika wanafanya Mikutano kukusanya Kero za wananchi ndio maana yangu kumuona. Sasa nije mjini kufanya nini? Kumuona Ndungulile? Wakati wakati wa kura nilipigia mjini? Hebu peleka ujinga huko! Kwahiyo anawakilisha watu wa mjini wakati sisi wapiga kura wake tuna Kero ambazo anatakiwa aziwakilishe serikalini au atakuja tena 2015?unataka umuone akiwa Mbagala au afanye kazi awasaidie mbagala??
vipi mkuu huendi hata mjini wala chooni ukisubiri kumuona??
what a stupid comment
kumuona pekee haisaidii we need actions
Mkuu naona umejikita kumtetea huyu gamba!! Sisi Huku mbagala tunataabika mbunge hafanyi Mikutano na sisi wananchi wake kukusanya Kero zetu natamani ningehamia ubungo au kawe ambako kuna wabunge active lakini uwezo sina!!! Lakini 2015 sio mbaliMadiwani wengi wa Kigamboni hawajui wanataka nini...... wengine wana magari ya wizi, wengine wanahongwa vigori, wengine walipanda gari kwenda dodoma hotel nk
Daktari is too advanced kwao, sijui kwanini alijiigiza kwenye hao wapuuzi, his vision doesnt match madiwani na chama alichopo
ndio mjifunze sasa watu wa Kigamboni,kuchagua mtu anaestahili kwa maendeleo ya Kigamboni yenu.Watu wapuuz.i puuz.i kama hawa kina Ndugulile next time wasipewe nafasi kabisa.Huku Mbagala tuna Matatizo kibao lakini huyu mbunge Ndungulile nilimuona Mara ya mwisho wakati wa kampeni 2010. Sasa hivi hata bungeni hasemi lolote kutwa anashinda chako ni chako akitafuna vipande vya kuku na bia
Mkuu Nakubaliana na wewe kabisa sitarudia tena 2015ndio mjifunze sasa watu wa Kigamboni kuchagua mtu sasa kwa maendeleo ya Kigamboni yenu.Watu wapuuz.i puuz.i kama hawa kina Ndugulile next time wasipewe nafasi kabisa.
Wenzake wakina Mnyika wanafanya Mikutano kukusanya Kero za wananchi ndio maana yangu kumuona. Sasa nije mjini kufanya nini? Kumuona Ndungulile? Wakati wakati wa kura nilipigia mjini? Hebu peleka ujinga huko! Kwahiyo anawakilisha watu wa mjini wakati sisi wapiga kura wake tuna Kero ambazo anatakiwa aziwakilishe serikalini au atakuja tena 2015?
Mkuu naona umejikita kumtetea huyu gamba!! Sisi Huku mbagala tunataabika mbunge hafanyi Mikutano na sisi wananchi wake kukusanya Kero zetu natamani ningehamia ubungo au kawe ambako kuna wabunge active lakini uwezo sina!!! Lakini 2015 sio mbali
Mkuu naona umejikita kumtetea huyu gamba!! Sisi Huku mbagala tunataabika mbunge hafanyi Mikutano na sisi wananchi wake kukusanya Kero zetu natamani ningehamia ubungo au kawe ambako kuna wabunge active lakini uwezo sina!!! Lakini 2015 sio mbali
Hiyo ya Kawe hapo unampa 'promo' tu Halima Mdee...mimi ni pro-Chadema supporter lakini sijawahi kuona mBunge dhahifu kushughulikia kero za wananchi wa jimboni kwake kama Halima Mdee. Nakubali ni mBunge mahiri kwa kushughulikia mambo ya kiTaifa, lakini Mdee hujachaguliwa na Taifa, umechaguliwa nasi wanaKawe...na hutujali, tuna kero kibao, tunatengeneza vikamati vya kujitolea na task-forces kufuatilia kero zetu pasi wewe kushiriki hata kidogo!
sijui wananchu wa kigamboni walichagua mtu wakiwa wamelala...... Hao mas
diwani ni bureeeeeeeeeee.... Na mbunge ndo chaliiiii acha wapelekeshe na kina tibaijuka......
Wamekutana wote wachumia matumbo...