Muyobhyo
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 8,149
- 6,556
kwani huwa mnafata sheria nyie, mumeanza lini kufata sheria, si mnajiamulia tuMimi nilifikiri watasema "kitendo cha DC kuamuru Halima awekwe ndani, ni kinyume cha Sheria Namba ...... ya Mwaka ......"
Kumbe ni zogo tu.