IROKOS JF-Expert Member Aug 13, 2011 10,184 7,819 Jul 20, 2017 #21 BAK said: Kadikteta uchwara kengine haka. Click to expand... ...This is another problem, yaani baraza zima la madiwani na wataalamu wao wanayumbishwa na mtu mmoja?
BAK said: Kadikteta uchwara kengine haka. Click to expand... ...This is another problem, yaani baraza zima la madiwani na wataalamu wao wanayumbishwa na mtu mmoja?
katima Senior Member Aug 22, 2012 104 58 Jul 24, 2017 #22 Ameanza majungu kama ya uko NemC huyu baba sijui ana nn hadi kutishia kufutaa Halimashauri...
W wise123 JF-Expert Member Apr 8, 2017 1,365 1,281 Jul 24, 2017 #23 wajiuzulu wanasubiri nini hawakujua hicho ni kinyoka. na kijizi
katima Senior Member Aug 22, 2012 104 58 Jul 25, 2017 #24 wise123 said: wajiuzulu wanasubiri nini hawakujua hicho ni kinyoka. na kijizi Click to expand... Hakuna cha kufuta Halimashauri wala nn yy sio PM cha kumshauri tu aache kusikiliza watu wenye Husda na majungu afanye kazi kwa weledi pasipo kujali kabila
wise123 said: wajiuzulu wanasubiri nini hawakujua hicho ni kinyoka. na kijizi Click to expand... Hakuna cha kufuta Halimashauri wala nn yy sio PM cha kumshauri tu aache kusikiliza watu wenye Husda na majungu afanye kazi kwa weledi pasipo kujali kabila