Madiwani Bumbuli watishia kujiuzulu baada ya kuchoka kuburuzwa na mbunge wao January Makamba

Ameanza majungu kama ya uko NemC huyu baba sijui ana nn hadi kutishia kufutaa Halimashauri...
 
wajiuzulu wanasubiri nini hawakujua hicho ni kinyoka. na kijizi

Hakuna cha kufuta Halimashauri wala nn yy sio PM cha kumshauri tu aache kusikiliza watu wenye Husda na majungu afanye kazi kwa weledi pasipo kujali kabila
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom