Madiwani 3 Ilala mikononi mwa TAKUKURU

Madiwani 3 Ilala mikononi mwa TAKUKURU

DOMBWELA

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
756
Reaction score
843
Taarifa zilizonifikia ni kuwa madiwani hao 3 wa Manispaa ya Ilala wa Kata za Segerea, Mnyamani na Mchikichini wanashikiliwa kituo cha polisi kati Dar es salaam toka juzi kwa tuhuma kuomba na kupokea rushwa ya Tsh 3ml.
 
Hivi ile kesi ya rushwa iliyokuwa inamkabiri anayevaa mabendera mifukoni iliishia wapi?
 
Ishu km hizi ndiyo ilimfanya Ninja kuharibika akili, hatimaye anayafanya anayoyafanya
 
Taarifa zilizonifikia ni kuwa madiwani hao 3 wa Manispaa ya Ilala wa Kata za Segerea, Mnyamani na Mchikichini wanashikiliwa kituo cha polisi kati Dar es salaam toka juzi kwa tuhuma kuomba na kupokea rushwa ya Tsh 3ml.
Meno ya Mbwa hayangatani.
 
Halafu wote wanatoka Kile chama ambacho kinateua Wagombea Udiwani wasioweza kutamka neno Characteristics Au kuandika neno Zinjanthroupas
 
Back
Top Bottom