Habari wadau , poleni na majukumu !Nauliza kama naweza kupata fundi wa kudesign au kutengeneza madirisha ya Louver ni mtindo zamani kidogo ! Umekuja kufunikwa na hizi aluminium za kuslide.
Natamani kuweka kwa nyumba yangu.
Ukinifafanulia na gharama nitakushukuru sana