Madini yetu, usikute wala siyo rushwa kubwa, bali uoga tu!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Siajabu hawa tunaowatuhumu wala hawajahongwa na Wazungu hela ndefu kiihivyo kuuza mali zetu, siajabu wamepewa vijidola na treatments Ulaya pmj na Malaya basi, lkn kikubwa kilichochangia wao kuwapa Wazungu mali zetu bure ni uoga wa nigga kwa Muzungu, kumbukeni siku zote
Mwafrika ni mutoto wa Muzungu, ona hata kuna watu wanamtetea Muzungu kwenye hili kuliko hata Muzungu mwenyewe na usikute hawajapewa hata shilingi, nigga yuko hapa kupigana Vita kwa niaba ya Muzungu, ulishawahi kujiuliza kwa nini Rostam Azizi ni tajiri klk Lowasa, Chenge &co. ingawaje wote wametajirika na Mali zetu?
Hivyo mtazunguka koote ila hapa ndipo uchawi ulipo, ...


af0c8562961bc37d95c1eee3ab05f05e2620c24771dc5ca617277e7d73213dc9.jpg
 
Back
Top Bottom