BIA BORA Senior Member Joined Oct 21, 2013 Posts 144 Reaction score 164 Mar 14, 2016 #1 WAKUU mwenye ufahamu kuhusu madini YA GALENA, naomba unipe mwangaza katika haya 1. soko lake liko wapi? ntapata wapi soko? 2. kama unamfahamu mnunuzi mkubwa? Tafadhari nahitaji msaada wenu wakuu
WAKUU mwenye ufahamu kuhusu madini YA GALENA, naomba unipe mwangaza katika haya 1. soko lake liko wapi? ntapata wapi soko? 2. kama unamfahamu mnunuzi mkubwa? Tafadhari nahitaji msaada wenu wakuu
SNAP J JF-Expert Member Joined Dec 26, 2013 Posts 7,117 Reaction score 8,096 Mar 14, 2016 #2 Ndio madini gani hayo?
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 95,822 Reaction score 136,693 Mar 14, 2016 #3 SNAP J said: Ndio madini gani hayo? Click to expand... Galena ndiyo knickel ....yanapatikana kagera,kabanga kama sijakosea
SNAP J said: Ndio madini gani hayo? Click to expand... Galena ndiyo knickel ....yanapatikana kagera,kabanga kama sijakosea
B bullion JF-Expert Member Joined Aug 23, 2014 Posts 309 Reaction score 112 Mar 14, 2016 #4 mrangi said: Galena ndiyo knickel ....yanapatikana kagera,kabanga kama sijakosea Click to expand... sidhani, galena ni PbS, yani lead sulphide, yaliyopo kabanga ni nickel
mrangi said: Galena ndiyo knickel ....yanapatikana kagera,kabanga kama sijakosea Click to expand... sidhani, galena ni PbS, yani lead sulphide, yaliyopo kabanga ni nickel