CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,361
- 6,441
Mungu mwema tuepushe hayo madini yaishie Biharamulo yasiende wilaya zingine maana madini ni balaa na si baraka. Mifano tunayo hai kutoka katika mikoa yenye madini wanavyodhulumiwa na kuteseka. Mungu epusha yasiwepo wilaya zingine