Madini: Aibu,Mbona Tunayatoa Sawa Na Bure

Madini: Aibu,Mbona Tunayatoa Sawa Na Bure

JAYJAY

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2008
Posts
8,795
Reaction score
9,153
Nimesoma gazeti The Guardian ripoti ya IMF imetaja kuwa licha ya mauzo ya dhahabu nje kufikia US$ 1.5bn bado mapato ya Serikali ni US$ 100m kwa mwaka. Yaani jamaa wanachukua 1500m sisi tunaambulia 100m. Huu ni wizi wa mchana kabisa unaohalalishwa na mikataba ya kishenzi mno. Hivi tuliowapa dhamana ndio wanafanya upuuzi namna hii! kweli ukiona mtu anawatetea ujue anafaidika na yeye. hiini aibu kubwa sasa tofauti yetu na machifu waliosaini mikataba kuuza himaya zao miaka hiyo iko wapi? toba, bado gesi sasa!
 
Jipange chukua hatua acha kilalamika,tunahitaji kujikomboa kwa mara ya pili
 
Alafu mnasema kidumu Ccm... somewhere tanzanians we not normal
 
Nimesoma gazeti The Guardian ripoti ya IMF imetaja kuwa licha ya mauzo ya dhahabu nje kufikia US$ 1.5bn bado mapato ya Serikali ni US$ 100m kwa mwaka. Yaani jamaa wanachukua 1500m sisi tunaambulia 100m. Huu ni wizi wa mchana kabisa unaohalalishwa na mikataba ya kishenzi mno. Hivi tuliowapa dhamana ndio wanafanya upuuzi namna hii! kweli ukiona mtu anawatetea ujue anafaidika na yeye. hiini aibu kubwa sasa tofauti yetu na machifu waliosaini mikataba kuuza himaya zao miaka hiyo iko wapi? toba, bado gesi sasa!

Mkuu naomba tujikumbushe tukio hili,
Katika tukio hili kama maelezo yalivyo hapo chini ni kuwa kiasi cha Dhahabu ambacho kilikuwa kimewekwa katika kumbukumbu za Kamishina wa madini wa Kanda ni Kg 400 lakini baada ya tukio hili ndipo walipokuja kuumbuka kwa kuonyesha dhahabu iliyokuwa inasafirishwa ni Kg 1300 kwa hiyo kg 900 zilikuwa zinaibiwa na serikali kukosa kodi na hata baada ya kubainika hili hakuna hatua zozote ambazo zilichukuliwa na Serikali yetu hadi sasa.

Pili naomba tujiulize hayo matofari ya Dhahabu yaliyowekwa katika hiyo gari ya Polisi pamoja na maiti ya hilo Jambazi yaliishia wapi? kwani inaonyesha yapo safarini kuelekea Polisi.

jambazi.jpg

picha hii ni Jambazi aliyeuawa katika patashika ya wizi wa dhahabu akiwa amelazwa katika gari la polisi. NaMpigapicha Maalumu

WATU wanne wanaosadikiwa kuwa majambazi wamevamia mgodi wa dhahabu wa Geita (GGM), na kuteka ndege ya kubeba madini hayo na kupora vitofali 68 vya dhahabu iliyokuwa ikisafirishwa kutoka mgodi huo kwenda nje ya nchi yenye thamani ya zaidi ya Sh bilioni 130.

Hata hivyo,majambazi hao walishindwa kuondoka na dhahabu hiyo baada ya polisi wilayani hapa kuwahi kufika eneo la tukio na kuiokoa,baada ya kupambana na majambazi hao kwa kurushiana risasi na kuua mmoja.

Dhahabu iliyonusurika kuporwa na majambazi hao kwa mujibu wa madai ya mmoja wa polisi aliyeikagua ambaye hakutaka kutajwa jina lake , ilikuwa ni zaidi ya kilo 1,000.
Polisi huyo alidai kuwa dhahabu hiyo ilikuwa imegawanywa katika makasha 16 huku kila kasha likiwa na vitofali vinne vya dhahabu na kila kitofali kikiwa na uzito wa kilo 25.
 
Nimesoma gazeti The Guardian ripoti ya IMF imetaja kuwa licha ya mauzo ya dhahabu nje kufikia US$ 1.5bn bado mapato ya Serikali ni US$ 100m kwa mwaka. Yaani jamaa wanachukua 1500m sisi tunaambulia 100m. Huu ni wizi wa mchana kabisa unaohalalishwa na mikataba ya kishenzi mno. Hivi tuliowapa dhamana ndio wanafanya upuuzi namna hii! kweli ukiona mtu anawatetea ujue anafaidika na yeye. hiini aibu kubwa sasa tofauti yetu na machifu waliosaini mikataba kuuza himaya zao miaka hiyo iko wapi? toba, bado gesi sasa!

MaCCM ni majinga sana hadi ktk hesabu na uelewa wa number....wanadhani $1.5bn ni ndogo kuliko $100m....ni ktk kila sector....they are so cheap you can buy them with a cheap "..Chinese Suit...","Lunch", "on night sex with a woman", "on hr scenic flight"

nchi ya promotion za bia kila siku,watu hawana muda wa kufikiri.
 
Yako wapi yale majinga kule yanayoshabikia ujinga wa juice,juice?Kwenye aibu kama hizi tunazoletewa na ccm hauyaoni,MIJITU MINGINE NI LAANA KWA TAIFA HILI KWANI HATA PALE YANAPOTETEWA KWA FAIDA YAO HAYAJITAMBUI,ZAO NI MIPASHO TU.
 
mtakasirika sana mpaka mpasuke siku ya uchaguzi mnaipigia kura ccm ,sera amani na utulivu ,wakati nyumbani kwako unalala na njaa ,safari bado ndefu sana
 
NAshangaa kusikia askari waliwahi eneo la tukio, ni matukio mangapi yanatokea mitaani na hawawahi? Hapo uwe na hakika hata viongozi wao wako kwenye pay list ya under carpet. ndio maana wakisikia tu ni issue ya Geita mbio. Mimi siungi mkono uhalifu, lakini hapo ni mahali pa kuanzia, wakaguzi- TMAA wakaangalie/waangaliwe- je walikuwa na taarifa sahihi kuwa kiwango kinachotoka kwa wakati huo ni hicho kinachotajwa. Hapo tunaweza pata sehemu ya kuona na kupata mengi yanayohusu wizi unaotokea katiaka migodi yetu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom