Ghazwat JF-Expert Member Oct 4, 2015 23,718 66,262 Aug 4, 2017 #1 Bomu la lililotengenezwa kienyeji lenye uzito wa robo kilo, limekutwa kwenye shamba la moja la mikorosho katika kijiji cha Madimba kata ya Madimba mkoani Mtwara,na kuleta hofu kubwa kwa wakazi wa Kijiji hicho na vijiji jirani. Chanzo: ITV channel
Bomu la lililotengenezwa kienyeji lenye uzito wa robo kilo, limekutwa kwenye shamba la moja la mikorosho katika kijiji cha Madimba kata ya Madimba mkoani Mtwara,na kuleta hofu kubwa kwa wakazi wa Kijiji hicho na vijiji jirani. Chanzo: ITV channel
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Nov 25, 2010 62,204 128,033 Aug 4, 2017 #3 Kwanza issue ya Gas iliishia wapi? Sent using Jamii Forums mobile app