Madikteta wa Afrika kukiona

Habari kamili iko wapi mkuu. Kitu kibaya hivyo vyombo vya habari Tramp anaviita fake news source.
 
Ushahidi huu hapa View attachment 849605

Mwisho wa dhuluma umewadia .
Hata kama Museveni ataondolewa madarakani, sidhani kama kutakuwa na mabadiliko makubwa sana Uganda. Tatizo naliona katika hizi nchi zetu, ni kama haya matatizo yameenea Afrika nzima. kuna watu wachache sana ambao wako tofauti. Pengine tungekuwa na utaratibu wa kubadilishana mapema, tena siyo kwa chama kilekile, bali chama kikae kando kiingie kingine, ingetusaidia sana. sasa hivi watawala wengi ni waroho, na hata wakiondoka wanaweka mawakala wao
 
Mseveni anatia aibu sana

hadi kinyaa waganda nao wanatia huruma sana

ingekuwa bongo sizan kama huyu jamaa angukuwa ikulu miaka yote hii

hapo ndio uwa naheshimu sana JWTZ pamoja na mapungufu tuliyonayo nawaamini sana hawa jamaa hawawezi kuruusu ujinga kama anaoufanya Meseven Uganda
 
Mwisho wa ubaya aibu.....

Nashindwa kuelewa viongozi wa kiafrika mawazo yao, kwa kuwa wengi wao wanapochaguliwa na wananchi, huwa wanaona ni kama vile tumewakabihi nchi pamoja na watu wake wote kuwa mali yao binafsi na anaweza kuwafanya lolote!

Na huyu Jiwe ajiangalie, watakuwa wanamvutia pumzi tu na anaweza kuwa "next in the list"
 
Jwtz ni taasisi makini sana mkuu nakuunga mkono
 
Tema mate chini mkuu!
 
ICC haina nguvu tena , wataishia huko kwenye uchunguzi na kupiga kelele.
 

Really?
 
Tushukuru kuwa historia inatulimda na si kingine. Nchi nyingi za Africa ambazo viongozi wao ving'ang'anizi wa madaraka ukiangalia historia ni aidha rais wa kwanza au wa pili ndio hataki kutoka. Na huyo wa pili jua alimpindua wa kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa na waonea huruma sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hii ICC nayo ina lolote?

Hivi wale watu zaidi ya 1,500 waliouawa kenya kuna kiongozi yeyote walimuwajibisha?

Vipi hapo Burundi? Vipi Congo? Vipi Rwanda?

Ukipata majibu ndio utakuja kushangilia maigizo ya ICC

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaa just hahahaaa
 
Tanzania JWTZ wako making Sana hawawezi kukubali kufanyiwa mchezo wa kitoto na Jiwe Kama aufanyayo Museven, nchi kaigeuza Kama ya familia...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…