Madikteta hufa kizembe, mfano mzuri ni Jenerali Sani Abacha

mr mkiki

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
5,583
11,659
Madikteta huwa wanakufa kizembe sana

Mlikuwa mnasifia viongozi kutosafiri? Mnamfahamu Jenerali Sani ABACHA?

Yeye sio tu kwamba alikuwa hapendi kusafiri bali katika kipindi chote cha utawala wake hakuwahi kukanyaga Lagos...

Alikuwaga ka-chill zake Aso Rock Abuja, anatembeza kipondo kwa upinzani na kujitajirisha

Wakati wa uchaguzi vyama 5 vya "upinzani" viliitisha mikutano mikuu na kumpitisha kama mgombea wao, kama ilivyofanya TLP ya Mrema mwaka jana.

June 8, 1998, Mungu aliingilia kati suala la wanaijeria, jamaa alifia kwenye "mzigo" wa wanawake wawili wa kihindi.

IMG_20210626_114225.jpg
 
Madikteta huwa wanakufa kizembe sana

Mlikuwa mnasifia viongozi kutosafiri? Mnamfahamu Jenerali Sani ABACHA?

Yeye sio tu kwamba alikuwa hapendi kusafiri bali katika kipindi chote cha utawala wake hakuwahi kukanyaga Lagos...

Alikuwaga ka-chill zake Aso Rock Abuja...anatembeza kipondo kwa upinzani na kujitajirisha

Wakati wa uchaguzi vyama 5 vya "upinzani" viliitisha mikutano mikuu na kumpitisha kama mgombea wao, kama ilivyofanya TLP ya Mrema mwaka jana.

June 8, 1998, Mungu aliingilia kati suala la wanaijeria, jamaa alifia kwenye "mzigo" wa malaya wawili wa kihindi. Alikufa anakula papa

View attachment 1830589
alitumika kuua utetezi kafia kinenani
 
Yenyewe hujifanya ni miungu watu sasa Mungu wa kweli uwa anawaonesha kuwa yeye ni zaidi,kuna moja lilitaka kuoza kwenye friji kwani lilivyokufa wapambe wake wakawa wanaona aibu kulitangaza kama limekufa
Duuuuh
 
Back
Top Bottom