Madikteta hufa kizembe, mfano mzuri ni Jenerali Sani Abacha

Mleta mada ,jifunze kuwa mtafiti,humu jf Kuna wasomi wa kushiba,na watu mbalimbali.umeleta umbea sio taarifa kamili.abacha ana historia ndefu sio huu umbea uliouleta hapa kiufupi, give us full histry ,sio kipande
Ndio maana nimeweka
IMG_20210626_114225.jpg
 
Nyingine ni diplomasia tu.

Wakisema alifia juu itakuwa ni aibu kubwa.

Ndio maana hata Magu hawasemi kafa kwa Corona

Huku mtaani hakuna aliyewahi kutangazwa kafa kwa UKIMWI.


Abacha story yake iko complicated
Events Kabla ya kifo
Events baada ya kifo..n.k.

Jinsi Obasanjo alivyokuja kuwa powerful ..

Hakunaga accident kwenye politics
 
Mleta mada ni mpuuzi, fanya utafiti wa unachokiandika sio blah blah na ujinga ujinga mnaolishana vijiweni huko

Nenda kachimbe taarifa zaidi mitandaoni ujue uhalisia wa unachokiwakilisha humu
 
Yenyewe hujifanya ni miungu watu sasa Mungu wa kweli uwa anawaonesha kuwa yeye ni zaidi,kuna moja lilitaka kuoza kwenye friji kwani lilivyokufa wapambe wake wakawa wanaona aibu kulitangaza kama limekufa
Mmmmmh
 
Yule wa Chad aliuliwa na kuruta muasi wa wiki mbili jeshini baada ya kurushiwa chupa tupu ya pepsi kichwani kwenye mapigano huko jangwani karibu na mpaka wa Libya
Sasa huyu Mseveni atatumbukia chooni ndo utakuwa mwisho wake
Muacheni babu jaman
 
Back
Top Bottom