Madhila ya introvents

Na Kufika Kutongoza hadi mtu nimemjua nje ndani na nmemtathimin kama ataendana nami.💪🏿
 
Ila huwa nataman niwe na mke
Nakushauri chukua muda wa kutosha kwenye hili... Muda wa kutosha sana
 
Omnivert: Huyu ana tabia za extremes zote mbili kulingana na siku au mood yake.
Siku moja anaweza kuwa na nguvu nyingi sana za kijamii (extrovert sana), na siku inayofuata akajifungia ndani kabisa na hataki kuona mtu (introvert sana).
Kwahiyo nisiwaze au Nina changamoto?!!!
 
Dah, itabidi tujirekebishe ,🙏
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…