Madhila ya introvents

Mimi hizi habari za introvert na extrovert zinanivuruga sijui niko wapi maana ni kama naingia kote kote 😃
Angalia mizani inaegamq wapi
 
Reactions: naa
Ila uwepo wa teknolojia umesaidia sana , maana hata ukiwa Introvert unaweza kuwasiliana na watu wengi sana , as well hata ukiwa Extrovert

Ni kama ulimwengu wa Teknolojia umekuja ku-break the walls. Na kumpa Kila MTU nafasi ya kutimiza ndoto zake
 
Introvert ni wafaidika wakubwa wa mitandao ya kijamii.
 
Introvert ni wafaidika wakubwa wa mitandao ya kijamii.

Yes uwepo wa technology unafanya hata MTU asie na miguu aweze kutembea na kuwa kile anachotaka kuwa .

Doesn't matter wewe ni introvert or extrovert ila katika teknolojia unaweza kushare ideas zako, kufanya kazi n.k na ukawa na the same results na hao extrovert au kuwazidi .

So technology ime break the walls.
 
Kwa mfano mimi hapa ni extrovert ila napenda sana kua introvert utaniweka kwenye kundi lipi?
Utapendaje kuwa kitu ambacho hauwezi kuwa .

Hakuna MTU anachagua kuwa introvert au extrovert

Ni Jambo linaloamulia na asili since unazaliwa.

Ingekuwa inawezekana ku- switch means kusingekuwa na huu Uzi Leo maana ungekuwa hauna maana

Nadhani Kuna watu wanachanganya Kati ya MTU mkimya na introvert

Unaweza ukawa Very Economic words ila usiwe Introvert as well unaweza ukawa ukikutana na watu unaongea sana tu ila ni introvert.

Introvert by the nature upendelea quietness , mazungumzo ambayo sio mepesi , na sifa yao kubwa Wana Monology , uongea sana peke yao ndani kwa ndani

So unaweza ukawa muongeaji ukapitia situation kadhaa ambazo zikakufanya kuwa mkimya katika maisha yako ila hauwezi ukatoka introvert into extrovert
 
Introvert by the nature upendelea quietness , mazungumzo ambayo sio mepesi , na sifa yao kubwa Wana Monology , uongea sana peke yao ndani kwa ndani
 
Binafsi huwa sielewi nipo kundi gani maana sifa za pande zote ninazo:
Introvert:
1.Napenda kampani yangu mwenyewe.
2.Napenda utulivu na kuwa mazingira ya asili zaidi.
3.Nimsikilizaji mzuri mzito kuongea.
4.Sometimes naongea mwenyewe au na wanyama wangu😁.

Extrovert:
1.Popote napokuwa ugenini ni rahisi mtu kunisogelea na kuwa rafiki(easy going).
2.Rekodi ya kuwa kiongozi mzuri.
3.Sijali watu watanionaje, nafanya yangu.

Hizo ni baadhi tu ila zipo nyingi.
 
Introvert by the nature upendelea quietness , mazungumzo ambayo sio mepesi , na sifa yao kubwa Wana Monology , uongea sana peke yao ndani kwa ndani
 
Angalia mizani inaegama wapi
Mimi napenda sana watu na kujichanganya lakini siwezi, yaani kutengeneza marafiki na kuwakeep kwangu ni mtihani nimefeli.
Naweza kukaa peke angu bila shida lakini kuna muda nahisi upweke na nahisi kuhitaji watu sasa hapo niko kundi gani mkuu??
 
unaweza kuwa introvert na extrovert kwa wakati mmoja, na hali hii ya kisaikolojia inajulikana kama Ambivert.

Wataalamu wa haiba wanaeleza kuwa u-introvert na u-extrovert zipo kwenye mstari wa mtiririko (spectrum), ambapo watu wengi hawapo mwisho kabisa wa upande mmoja, bali huishi katikati.

Kama ambivert, una uwezo wa kipekee wa kubadilika kulingana na mazingira...!
unaweza kuwa mchangamfu na mwenye kijamii kwenye sherehe, lakini pia ukahitaji muda wa kuwa peke yako ili kurudisha nishati na nguvu zako za mwili na akili baada ya mikusanyiko mikubwa.

Unyumbulifu huu unakupa faida kubwa katika mawasiliano na uhusiano, kwani unajua wakati sahihi wa kusikiliza kwa makini kama introvert na wakati wa kuongea kwa kujiamini kama extrovert.

Unafurahia kuwa na marafiki wengi wa kawaida lakini unathamini zaidi marafiki wachache wa karibu kwa ajili ya mazungumzo ya kina, na unafanya kazi vizuri ukiwa peke yako au ndani ya timu.

Hali hii haimaanishi kuwa huna msimamo, bali inadhihirisha kuwa una haiba yenye usawaziko mzuri inayokusaidia kuendana na mazingira yoyote kwa urahisi.
 
Mimi napenda sana watu na kujichanganya lakini siwezi, yaani kutengeneza marafiki na kuwakeep kwangu ni mtihani nimefeli.
Naweza kukaa peke angu bila shida lakini kuna muda nahisi upweke na nahisi kuhitaji watu sasa hapo niko kundi gani mkuu??
Ambivent

unaweza kuwa introvert na extrovert kwa wakati mmoja, na hali hii ya kisaikolojia inajulikana kama Ambivert.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…